Siyoi asema atawaombea ajira watu wa Arumeru kwenye chuo cha Nelson Mandela

nilikuwa naangalia website ya nelson mandela institute ( The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology ) sijaona kama wame-post kazi. Kuna application za masters na phd ( chuo chenyewe kinafunza masters na phd tu tena kwenye lab -oriented course) lakini nafikiri huyo siyoi ameanzisha mada muhimu sana. kwamba jinsi hao sisiem wanavyoongoza nchi huwezi pata kazi sehemu fulani bila mtu fulani kuku-connect na bosi wa hiyo ofisi. wanasema benk kuu waliowengi wana connection na vigogo wa hii nchi (jamani sina uhakika) lakini cha kujiuliza kama ni kweli how could that happen.! Chance! coincedence! au they truely deserve?.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Hivi na TBC wamemgeuka Siyoi nini!? Hii pumba hawakuichuja kabisa au hiyo ndo iliyokuwa pumba afadhali?
 
Back
Top Bottom