Siyo story, ni kweli...

pingu mkoka

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
434
110
Baba 1 alikuwa anaosha gar lake jipya,mwanae mdogo 5yrs old akalichora hilo gari ubavuni na jiwe.Baba alivyomwona mtoto anachora akakurupuka na kumbana mkono kwa pkaiz ikapelekea vidole 3 kuharibika.Wakiwa hospital mtoto akatakiwa akatwe vidole vile 3,mtoto akamwangalia baba yake,akamuuliza vitarudi tena?Baba akaumia sana,akarudi kwenye gari aone mtoto kachora nini,kakuta mtoto kaandika Dady i love you.kanuni ya maisha ni watu watu wapendane na vitu vitumiwe.lkn tatizo la walimwengu wa leo,wanapenda vitu kuliko watu.

Wana JF alichofanya huyu mdingi ni kizur?
 
Story... Sio Stoly.

Duh, hiyo kitu nimeisoma mkuu. Inabidi tufikirie mara mbili kabla ya kutenda.
 
Mhhh! Story imeniumiza sana hii!!! Yaani huyo mzee lazima ajione mjinga!
 
Iwe ya kweli au yakutunga ,hii hadithi inasikitisha kupita maelezo!
 
Baba 1 alikuwa anaosha gar lake jipya,mwanae mdogo 5yrs old akalichora hilo gari ubavuni na jiwe.Baba alivyomwona mtoto anachora akakurupuka na kumbana mkono kwa pkaiz ikapelekea vidole 3 kuharibika.Wakiwa hospital mtoto akatakiwa akatwe vidole vile 3,mtoto akamwangalia baba yake,akamuuliza vitarudi tena?Baba akaumia sana,akarudi kwenye gari aone mtoto kachora nini,kakuta mtoto kaandika Dady i love you.kanuni ya maisha ni watu watu wapendane na vitu vitumiwe.lkn tatizo la walimwengu wa leo,wanapenda vitu kuliko watu.
Wana JF alichofanya huyu mdingi ni kizur?

Stori hii inarudiwarudiwa mara nyingi tu. Sio mpya hii.
 
"stoly" ndio nini?
 
Story ya kweli?Imetokea wapi?Mtoto anaitwa nani?Baba anaitwa nani?wanakaa wapi?Je,mtoto alikatwa kweli?,Km alikatwa hali yake ikoje sasa?Imetokea lini?Anatibiwa au ametibiwa hosp gani?
 
Imenitoa machozi hii kitu. Mungu aniongoze nisiwe na short temper
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom