Siyo sahihi viongozi wote wakuu wa nchi kuwa mahali pamoja kwa wakati mmoja, ni hatari kwa Taifa

Huu mtindo umeasisiwa na Magufuli

Yaani unakuta afra Ina Rais, Makamo, waziri mkuu, spika, mkuu wa Majeshi, IGP, Mkurugenzi wa wa idara ya usalama wa taifa,

Halafu eti wanapokea Repoti ya CAG.

Nchi yetu imeachwa katika mfumo mbovu sana wa Magufuli.
Alikuwa anaogopa kupinduliwa. Dawa yao akawa anazurura nao hadi Chato. Walinyooka kwa kweli.
 
Wakifa kuna hasara gani? watu watabaki na nchi itaenda
Asee hii chuki ni ya viwango vingine kabisa. Hawa si nibinadamu tu kama wewe na wanawategemezi ambao kama ikitokea hivyo inakuwa ni mashaka makubwa kabisa.
 
Nimekua nafuatilia matukio mbalimbali siku hizi, mara nyingi unakuta viongozi wote wakuu wa nchi wakiwa pamoja wamelundikana pamoja kwenye tukio moja
Hii kitu haina afya kwa usalama wa nchi kwa sababu ikitokea dharura, nchi inaweza kuparalyse kwa sababu Line of Succession nzima inaweza kudhuriwa.
Kwa mfano leo kwenye sherehe ya Mei Mosi, pale CCM Kirumba yupo Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge. Sasa hapo ikitokea dharura nchi si itakuwa katika mashaka makubwa?

Zamani ninakumbuka, Mahali fulani akiwepo rais sehemu basi Makamu wake hayupo, au Makamu akiwepo basi Spika hayupo (Maana Spika nalikuwa kwenye Line of Succession)

Hawa watu wa Usalama wanaopanga hizi Protokali wajitafakari upya, wasije wakaitia nchi katika sintofahamu kwa kulinda viongozi wote sehemu moja
Wanaombewa wale Mungu yupo nao utasubiri sana
 
Hii haijakaa sawa hakuna haja ya kuwa pamoja kwani kuna zarura za asili.
 
Point
 
Ila watanzania bhana tunapenda Maada ambazo hata kiwango chake bado hatujakifikia sa Hata kama wakiwa Chumba kimoja unahisi nchi yetu ina uadui na nani au kuna kipi kibaya Tanzania inaweza kipata si sio kama nchi hizo za Magharibi walio na uadui na nchi kibao
 
Zamani ninakumbuka, Mahali fulani akiwepo rais sehemu basi Makamu wake hayupo, au Makamu akiwepo basi Spika anakuwa hayupo (Maana Spika naye alikuwa kwenye Line of Succession)

Kuna wakti huwa waongea mambo yenye tija sana.

Kula shano.

Point noted.
 
Mkuu upo sahihi.Unakuta mpaka wakuu wa majeshi na Tiss wapo na uongozi wote wa nchi sehemu moja.Yaani sometimes hadi marais wastaafu n.k.Hii sio hekima sana kiusalama.Kwanza wanawapa wanausalama wakati mgumu sana kutimiza majukumu yao.
 
Ila watanzania bhana tunapenda Maada ambazo hata kiwango chake bado hatujakifikia sa Hata kama wakiwa Chumba kimoja unahisi nchi yetu ina uadui na nani au kuna kipi kibaya Tanzania inaweza kipata si sio kama nchi hizo za Magharibi walio na uadui na nchi kibao
Upo gizani sana, yaani kwenye hii dunia unadhani kuna mtu/nchi inayo kosa adui?
 
Nimekua nafuatilia matukio mbalimbali siku hizi, mara nyingi unakuta viongozi wote wakuu wa nchi wakiwa pamoja wamelundikana pamoja kwenye tukio moja
Hii kitu haina afya kwa usalama wa nchi kwa sababu ikitokea dharura, nchi inaweza kuparalyse kwa sababu Line of Succession nzima inaweza kudhuriwa.
Kwa mfano leo kwenye sherehe ya Mei Mosi, pale CCM Kirumba yupo Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge. Sasa hapo ikitokea dharura nchi si itakuwa katika mashaka makubwa?

Zamani ninakumbuka, Mahali fulani akiwepo rais sehemu basi Makamu wake hayupo, au Makamu akiwepo basi Spika anakuwa hayupo (Maana Spika naye alikuwa kwenye Line of Succession)

Hawa watu wa Usalama wanaopanga hizi Protokali wajitafakari upya, wasije wakaitia nchi katika sintofahamu kwa kulundaika viongozi wote sehemu moja, adui akichapa anachapa wote hao, halafu nchi inaingia kwenye kizungumkuti cha power struggle!
Hizo hofu zako huwa unazitengenezea mwaya wa ubaya siku zote. Jeshi letu la wananchi lina weledi mkubwa kukabiliana na ombwe lolote bila kusababisha taharuki na bila kung'ang'ania madaraka ya kisiasa.

Hii tahadhari sio mara yako ya kwanza kuitoa, sijui huwa unakuwa na nani wakati huo na unasikia wakisemaji hadi kukusukuma kuja kubandika uzi hapa jukwaani.
 
Mtoa mada yuko sahihi.. Kuna series wamarekani wameitoa inaitwa designated survival... Watu walilipua bunge likiwa na viongozi wote wa nchi.... Bahat nzur kuna mbunge mmoja alikua kwake ndio akawa rais
 
Dharura watanzania milioni 55 watakufa wote kwa pamoja? kuna mtu alijiona yeye ndiyo Tanzania kafa lakini taifa bado lipo palepale
Hizi ni akili fupi sana!!??
haiwezi hata kujua madhara yanayoweza kuketwa na power vacuum
 
Nimekua nafuatilia matukio mbalimbali siku hizi, mara nyingi unakuta viongozi wote wakuu wa nchi wakiwa pamoja wamelundikana pamoja kwenye tukio moja
Hii kitu haina afya kwa usalama wa nchi kwa sababu ikitokea dharura, nchi inaweza kuparalyse kwa sababu Line of Succession nzima inaweza kudhuriwa.
Kwa mfano leo kwenye sherehe ya Mei Mosi, pale CCM Kirumba yupo Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge. Sasa hapo ikitokea dharura nchi si itakuwa katika mashaka makubwa?

Zamani ninakumbuka, Mahali fulani akiwepo rais sehemu basi Makamu wake hayupo, au Makamu akiwepo basi Spika anakuwa hayupo (Maana Spika naye alikuwa kwenye Line of Succession)

Hawa watu wa Usalama wanaopanga hizi Protokali wajitafakari upya, wasije wakaitia nchi katika sintofahamu kwa kulundaika viongozi wote sehemu moja, adui akichapa anachapa wote hao, halafu nchi inaingia kwenye kizungumkuti cha power struggle!

kwani wewe unataka utawaliwe na wao tu milele kuna watanzania milion ngapi?
 
Back
Top Bottom