Itakuwa jaji mkuu au jeshi. Lakini sehemu nyingine unakuta viongozi wote hadi wa vyombo vya ulinzi wapo sehemu moja.Hiyo Chain of command nzima ikikatika sijui nani hapo wa kushika nchi! Ni Jaji Mkuu au Jeshi?
Kama haina matukio ya ajabu why Magu alileta tabia ya misafara ya mabunduki?Jipe tafakari kidogo na siasa uweke pembeni. Mtoa mada yupo sahihi sana. Nivile tu tunaishi kwa mazoea kwamba nchi yetu haina matukio ya ajabu ajabu
Hahahaah yupo na rimoti yake...Rais wa nchi yupo Msoga,we una wasiwasi gani?
Yes sasa huyo Mkuu ana hofu ganiHahahaah yupo na rimoti yake...
Jipe tafakari kidogo na siasa uweke pembeni. Mtoa mada yupo sahihi sana. Nivile tu tunaishi kwa mazoea kwamba nchi yetu haina matukio ya ajabu ajabu
kama Mungu ni mjomba wako hapo sawa.Tanzania ni Taifa teule , Hii ndo Israel halisi sema tupo utumwani tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kila comment lazima umtaje MagufuliDharura watanzania milioni 55 watakufa wote kwa pamoja? kuna mtu alijiona yeye ndiyo Tanzania kafa lakini taifa bado lipo palepale
si mpaka litokee. eneo husika halina historia ya majanga ya kiasili.Je ikitokea maafa ya kiasili: tetemeko, upepo, sink holes (ardhi kutitia ghafla) n.k.? Hapo ulinzi wa kibinadamu unakuwa hausaidii lakini maafa yametokea. Mtoa mada ana point.
Wewe ni JINGA sana.Wakifa kuna hasara gani? watu watabaki na nchi itaenda
Umeanza kuliona hili leo? Ulikuwa wapi miaka mitano nyuma?Nimekua nafuatilia matukio mbalimbali siku hizi, mara nyingi unakuta viongozi wote wakuu wa nchi wakiwa pamoja wamelundikana pamoja kwenye tukio moja
Hii kitu haina afya kwa usalama wa nchi kwa sababu ikitokea dharura, nchi inaweza kuparalyse kwa sababu Chain of command nzima inaweza kudhuriwa.
Kwa mfano leo kwenye sherehe ya Mei Mosi, pale CCM Kirumba yupo Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge. Sasa hapo ikitokea dharura nchi si itakuwa katika mashaka makubwa?
Zamani ninakumbuka, Mahali fulani akiwepo rais sehemu basi Makamu wake hayupo, au Makamu akiwepo basi Spika hayupo (Maana Spika nalikuwa kwenye Chain of Command)
Hawa watu wa Usalama wanaopanga hizi Protokali wajitafakari upya, wasije wakaitia nchi katika sintofahamu kwa kulinda viongozi wote sehemu moja
Cdf na DG wa tiss nao wapo hapo!?Nimekua nafuatilia matukio mbalimbali siku hizi, mara nyingi unakuta viongozi wote wakuu wa nchi wakiwa pamoja wamelundikana pamoja kwenye tukio moja
Hii kitu haina afya kwa usalama wa nchi kwa sababu ikitokea dharura, nchi inaweza kuparalyse kwa sababu Chain of command nzima inaweza kudhuriwa.
Kwa mfano leo kwenye sherehe ya Mei Mosi, pale CCM Kirumba yupo Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge. Sasa hapo ikitokea dharura nchi si itakuwa katika mashaka makubwa?
Zamani ninakumbuka, Mahali fulani akiwepo rais sehemu basi Makamu wake hayupo, au Makamu akiwepo basi Spika hayupo (Maana Spika nalikuwa kwenye Chain of Command)
Hawa watu wa Usalama wanaopanga hizi Protokali wajitafakari upya, wasije wakaitia nchi katika sintofahamu kwa kulinda viongozi wote sehemu moja
Naunga mkono hoja. Kuna hatari sana. Kitakuja "kuita" kitu siku moja yakabakia majivu tu......
Najua wazi kwa sasa "maadaui" wamepungua. Lakini ni muhimu kuwa na controls imara. Na hili la viongozi wa kitaifa na wakuu wa vyombo vya usalama kutokuwapo wote sehemu moja kwa muda mrefu ni control muhimu.
Tuombee haya yasitokee hata Mara moja...tumezoa na kuoenda amani....lakini zaidi tuwaombee busara na hikma viongozi, walinzi na wote wanaopanga protokali.
Na wale wanaopanga mabaya kama wapo basi nao "washindwe"!
Rais wa nchi yupo Msoga,we una wasiwasi gani?