Siyo sahihi kuwatukana waliomweka bosi wako hapo alipo

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Umaarufu unaopatikana kwa kuwadhalilisha binadamu wenzako siku zote hauwezi ukadumu...Matusi yanayoporomoshwa dhidi ya awamu zilizopita za utawala yanaweza yakaonekana Kama mkakati lakini kwa wasomi wanaona huu siyo mkakati bali Ni njia flani ya kuliangamiza taifa.

Watu wanajitokeza kujidai wanapigania haki wakieleza kuwa watawala waliotangulia walikuwa mafisadi lakini ukiwaangalia wote wanaojitokeza leo ni zao la tawala zilizopita.

Huwezi kuwatukana viongozi wa chama waliopita halafu ukataka kutuaminisha kwamba wenyeviti wa vyama walikuwa wasasfi, ukweli ni kwamba uchafu walionao wenyeviti ni mkubwa kuliko watendaji WENGINE wote.

Ni unafki leo kutuambia mzee Mkapa ni msafi na Makamba mchafu, kutuaminisha kinana Ni mchafu JK msafi...Kama leo Hawa mnakiri ni wachafu nadhani ni sahihi kabisa kukiri kwamba hata uongozi wa Sasa umeoza.

Tusijifunike kwenye mwamvuli wa uanaharakati kupakana matope maana siku zijazo zitakuwa mbaya kuliko siku ya leo. Tuliacha kukemea walipochafuliwa wapinzani tukiamini kwamba sisi tupo salama lakini Leo naamini Kati ya watu waliodhalilika na wanaiona pensheni chungu ni wazee waliokuwa wanasifiwa kila Leo na Sasa wanaonekana Kama vikatuni bila hata mwenyekiti kuwatetea.

Kisasi mlichokitengeneza na maandalizi ya watoto wenu mliyoyanfanya miaka yote Sasa yanafunikwa na chama kile kile mlichokiamini....mlitutesa kwa kuiba kura na kutupiga mabomu ila Leo tunawatesa angali mpo uzeeni na mlichobakiza nikujikomba kwa mwenyekiti ambaye mnaamini fika kwamba Hana imani na ninyi

Dhuluma mliyofanya Sasa inawaandama na nyoka mliyemfuga anawatafuna.
 
Wakola muno waitu kaisiki waandika gei
 
Dada yangu..
Hizi emotion mnazotumiaga hua zinafanya kazi kwa jinsia yenu tuu..
Huu upande wetu ni kazi kazii, siasa sio bridal shower, ukija huku lazma uwe na ngozi ya mamba..

Tujadili hoja bila emotion sasa
 
Mm Huwa musiba namfananisha Na mtoto mdogo anapotaka kumpiga baba/ Mama kwa kuwa ana nguvu Fulani. My friend musiba jitathimin sio kuropokaropoka ovyo. Sasa subir wazazi wameshasema kwa wazazi wenzao jibu utalipata. LAANA HUWA INA MAMBO MAWILI TU, kuishi kwa hofu Na baadaye ugonjwa, matokeo ya ugonjwa majibu ni MAWILI Kupona au kufa.

NAKUSHAURI ITA PRESS CONFERENCE OMBA MSAMAHA.
 
Hawa wazee si waende mahakamani? Hata Kinana mzee wa "mawaziri mizigo", " makapi", pia mfanyabiashara maarufu wa meno ya tembo wetu analialia?
 
Back
Top Bottom