Siyo Maigizo ni Maisha ya Watanzania Hadi Leo.

Phd Hewa

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
572
466
7bf33d378b8065a1c17b29d58cbb3e33.jpg
Sisi Kwetu Tunaita Teremka Tukaze Kwenu Inaitwa Jina Gani?
 
Sasa Usiombe Hapo Kati Kamba Zilegee Utakuta Unalala Mgongo Unagusa chini.
wewe, kila siku asubuhi kinatolewa nje, kinaanikwa juani na kamba zinakazwa upya. Labda mvua inyeshe, ni maisha mzuri yasiyo na bills wa pressure ya umeme kukatika.
 
wewe, kila siku asubuhi kinatolewa nje, kinaanikwa juani na kamba zinakazwa upya. Labda mvua inyeshe, ni maisha mzuri yasiyo na bills wa pressure ya umeme kukatika.
Huku Kwetu Hizo Kamba Zinakumbana na Changa Moto za Watoto Vikojozi Utakuta Miezi Kadhaa tu Zinaoza.
Na Kukatika Katika.
 
mie hapa nipo humu Jf nimekalia hicho kitanda mkuu sema sewezi tu kujipiga picha
 
Ni vitanda vizuri sana, hasa kwa AFYA ya mwili (mwongo), napendekeza anayekiuza aniuzie
 
Mie mawazo yangu nilijua ni goli hilo au meza za wenzetu wamachinga kumbe bed... hongera
 
Back
Top Bottom