'SixthSense' technology

Mkuu video ni nzuri na ni good example kwamba si wale walioendelea tu ndio wenye ubunifu bali pia hata wale waishio katika nchi zinazoendelea.

Kulinganisha objects na digital world itakuwa ndio njia murua kadri miaka inavyozidi kwenda mbele.

Kuna SatNav, self service POS kwenye supermarkets, wireless real time system kwenye transport systems na wireless fingerprints recognition device na traffic surveillance systems.

Kwa mfano katika nchi zilizoendelea polisi hawakusimamishi mpaka wawe wamefanya inquiry kwenye database kwamba umelipa insurance, road tax na MOT wakiwa ndani ya gari yao kwa kutumia licence plate recognition, LPR, ALPR, numberplate reading na number plate recognition.
 
The thrilling potential of 'SixthSense' technology


At TEDIndia, Pranav Mistry demos several tools that help the physical world interact with the world of data -- including a deep look at his SixthSense device and a new, paradigm-shifting paper "laptop".

Gonga Hapa uangalie wenzetu wanavyo tuwacha
 
here we go I been wondering where is my damn thread :) thanks to whoever moved my thread but you should have informed me bro/sis... so I woudlnt have to search it...
 
Wadau don't get too excited - this is more of a conceptual prototype than an actual finished product. We are several years away to even get close to having something useable that resemble what is presented in this video. There are many technologies that work in parallel to make this whole concept possible. One that is at a more advanced stage is Microsoft surface computing that simulate GUI to natural user interface.

¬K
 
here we go I been wondering where is my damn thread :) thanks to whoever moved my thread but you should have informed me bro/sis... so I woudlnt have to search it...

ukiweka thread pahala siyo pake, au ukiweka thread inafanana na nyingine, au kwa sababu nyingine yoyote, modes wanao ubavu wa kuimuvuzisha bila kuwajibika kutoa taarifa kwa mtu yeyote!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom