Six Flying Dragons: The best historical Korean drama

Oct 16, 2020
92
195
Hii ni series nzuri mno kama we ni mpenzi wa historical (Sageuk).

Plot

Story inaongelea maisha ya Mwanzilishi wa Taifa la Joseon (Korea). Jang Do Jeon msomi na mwanaharakati katika utawala wa Guryeo, alikua anachukizwa na mateso wanayopitia raia katika nchi ya Guryeo, hivyo akaazimia kutengeneza taifa jipya.

Akaungana na mtoto wa General katika mapinduzi. Ambapo inafika wakati wakapata tofauti kati yao.
Fuatilia mkasa huu wa kuvutia

Cast
Yo Ah In
Shin Se Kyung
Shin Myung Min

IMG_20201017_151152.jpg
 
View attachment 1603885
Mkuu ukimaliza hiyo unganisha na "Tree with deep roots"...au wanaita pia "Hidden Roots"!
 
Nishaicheki sema nilianzia deeprootted tree kwa sabab ndio ilianza kutoka.Then nlvokuja kuona six flying dragons nikajua kua ile hidden roots nimuendelezo.
Ila pia tafuta drama inayoitwa Jang Do Jeon ni kali sana
 
Kwa upande wangu the best historical korean drama Ni "The empress ki" kitu kilichonivutia Ni story line yake, mapigano na Ni drama ambayo Ni unpredictable kila unapomaliza episode inaisha na utamu unatamani next episode itakuwaje
 
Empress Ki Upumbavu mtupu ule...sikupenda kabisa yule Dem kumsaliti mfalme wake kisa ya mpuuzi yule emporr...mwandishi kaniboa sna
 
Source07 Tatizo lako uliingiza mapenzi lakini kitendo Cha mwandishi kutengeneza story ya namna ile ndio imefanya kuleta msisimuko na sisi kushindwa kupatia itakuaje au itaishiaje huo ndio tunauita ufundi wa mwandishi hata me sikutegemea lady ki atamuacha jamaa lakini nilipenda lady ki kuwa na mahusiano na yule emporr....
 
Jamaa shenzi lile eti halinywi halili mpaka limuone lady Ki...lisipomuona linaumwa na moyo pressure....hahahaha...nwey yah nikweli mwandishi alikuja na creativity ya aina yake toka kumuona Emporr Kama mtu mjinga asiye jiweza kwachochote aliendamwa kuuliwa Tena na watu wake wakaribu...mpaka kuja kupataka usaidizi kutoka kwa lady Ki..ilikua so fascinating...na naamini idea ya mwandishi kuhusu emperor kumuoa lady Ki nikua yeye emperor alimuona lady Ki kama mtu jasiri na muokozi wake..Aliyemuokoa kutoka mikononi mwa watesi wake hivyo alimuamini yeye mojakwamoja na ilikuondoa kikwazo chochote ndiposa akaamua kumuua "chowna''.. mfalme niliyemkubali Sana...he was so wise!
 
Huyo jamaa unayemchukia kiasi kubwa uhusika wake aliuvaa vizuri Sana mwandishi aliyeenda tofauti na sisi tulichokuwa tunafikiri binafsi sikufikiri kama mfalme wa chowna na huyo emperor Ta hwan watakufa but all in all mwanadada ha ji won aliitendea haki Sana hii drama Sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daemusin njooo uone huku walichokiona hawa wakuu na sie tulikona ila inno anabisha

DowntownGuy hapa haukupaona?
Empress Ki Upumbavu mtupu ule...sikupenda kabisa yule Dem kumsaliti mfalme wake kisa ya mpuuzi yule emporr...mwandishi kaniboa sna
Jamaa shenzi lile eti halinywi halili mpaka limuone lady Ki...lisipomuona linaumwa na moyo pressure....hahahaha...nwey yah nikweli mwandishi alikuja na creativity ya aina yake toka kumuona Emporr Kama mtu mjinga asiye jiweza kwachochote aliendamwa kuuliwa Tena na watu wake wakaribu...mpaka kuja kupataka usaidizi kutoka kwa lady Ki..ilikua so fascinating...na naamini idea ya mwandishi kuhusu emperor kumuoa lady Ki nikua yeye emperor alimuona lady Ki kama mtu jasiri na muokozi wake..Aliyemuokoa kutoka mikononi mwa watesi wake hivyo alimuamini yeye mojakwamoja na ilikuondoa kikwazo chochote ndiposa akaamua kumuua "chowna''.. mfalme niliyemkubali Sana...he was so wise!
Kubali au kataa hii drama ilianza vizuri ila karibu na mwisho mwandishi aliishiwa ideas. Halafu kitendo cha empress ki kujifungua na kutogundulika nacho kinashangaza sana
Huyo jamaa unayemchukia kiasi kubwa uhusika wake aliuvaa vizuri Sana mwandishi aliyeenda tofauti na sisi tulichokuwa tunafikiri binafsi sikufikiri kama mfalme wa chowna na huyo emperor Ta hwan watakufa but all in all mwanadada ha ji won aliitendea haki Sana hii drama Sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daemusin njooo uone huku walichokiona hawa wakuu na sie tulikona ila inno anabisha

DowntownGuy hapa haukupaona?

Kubali au kataa hii drama ilianza vizuri ila karibu na mwisho mwandishi aliishiwa ideas. Halafu kitendo cha empress ki kujifungua na kutogundulika nacho kinashangaza sana
Drama nzuri Ni ile ambayo haiji Kama unavyowaza kwenye kichwa chako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom