Six Day War: When Israel reclaimed Jerusalem, its eternal capital

Hapa ndio maana kila upande unadai ushindi, vita ile 1967 israel alichukua Sinai, halafu 1973 Misri kairudisha Sinai , sasa Israel anakuwaje mshindi? Labda aliwashinda Syria maana hao hakuna walichokomboa
Sinai ilirudi kwa makubaliano baada ya vita kuisha na waarabu wakachapika mara ya pili UN ndio walifanikisha MKATABA WA AMANI kati ya Israel na Misri

cheki mziki wa 73 waarabu walivyogaragazwa
Screenshot_20210616-154741_Chrome.jpg
Screenshot_20210616-154514_Chrome.jpg
Screenshot_20210616-154557_Chrome.jpg
 
Hii kitu ukitizama Documental yake Wanahojiwa wanasema ilikiwa ni miracles maana Waadui wengi mno na ambushi zao zilikuwa za kistukiza.. na Israel uchache wa Silaha tena used from ulaya n.k sema zilikuwa powerfull kulingana na vifaru vya adui.. kuna time vifaru vitano tu vilisimamisha vifaru vya adui zaidi ya mia tano na matokeo israel vikapona viwili na Adui zaidi ya mia tano yaani israel zao walikiwa ni kupachika mizinga kisha kuchagua target hadi wakamaliza vifaru vyote vya Adui... Golan Israel hawawezi iacha... Kuna time Israel na vifaru vichache vilikuwa bondeni na vifaru vya adui vipo mlimani sasa adui vifaru vyoa duni from russia haviwezi inamisha mizinga chini hivyo wakawa hawana la kufanya Israel bondeni vifaru vyao mizinga yake inauwezo kupiga mlimani basi kazi ikawa ni kuvitungua tu huko juu hadi wakakimbia...

Mziki ukahamia usiku adui ana night vision Israel hana miujiza mingine zile darubini ukitizama usiku unaona mwangaza mwekundu Israel wakawa wanajiuliza nini hiki ile kutizama kwa umakini washasogelewa basi wakaanza kuwatandika upya adui...

Ushindi ule ulileta heshima na uoga kwa Muslim world... ndio maana Wanaichukia mno Israel hata ikifanya jambo jema.. Hata Hamas awe anarusha rocket kila siku na Israel ikajibu wanamlalamikia Israel tu
Thanks to Eli Cohen shushu wa Israel na waziri wa ulinzi wa Syria maana alitoa ramani ya kila vifaru vya Syria vilipo na alipanga vikae wapi.

Si Israel walivilipua kiulaini saaana yaana kama movie ya RAMBO na wavietinam
 
Mwisho wa siku Misri na Syria walipoteza pambano

Misri akaingia makubaliano na Israel wakarudishiwa ardhi yao
1.Hivi unafahamu kabla ya vita Anwar Sadat alikwenda mpaka UN, kutaka jangwa la Sinai warudishiwe lakini Israel alikataa katu katu
2.Kwanini Israel alikubali hayo makubaliano wakati mwanzo alikataa? Jibu ni rahisi ile vita alipigika sana kwa maana vifo, majeruhi na vifaa vyake kuharibika,akawa hana jinsi lazima atoke Sinai, kuhusu Syria hao ndio walipigika kweli maana majeshi ya Israel yalifika Damascus, kama sio Iraq na wenzake uende Syria ingekuwa Mali ya Israel
 
Sinai ilirudi kwa makubaliano baada ya vita kuisha na waarabu wakachapika mara ya pili UN ndio walifanikisha MKATABA WA AMANI kati ya Israel na Misri

cheki mziki wa 73 waarabu walivyogaragazwaView attachment 1820598View attachment 1820600View attachment 1820605
Nafikiri lugha unaelewa vizuri "Both the Arabs and Israel declared victory in the war " mwisho wa kunukuu, hii vita Egypt hakupigwa,maana maumivu aliompelekea Israel ndio yalimfanya akae meza ya mazungumzo, maana kule UN Israel alisema wazi kilichopatikana vitani hakirudishwi labda na wewe upigane
 
Unampangia adui aendaje vitani eti alitumia ndege tu

Unakumbuka misri alipigwa mwanzoni hadi mfereji wa Suez ukachukuliwa
Kwasababu walikosa latest teknoloji kwa kipindi kile Israel alikuwa na Best teknoloji, ndio maana alipopewa zile Ant Tanks (Saga ) na Soviet , Israel alichezea kichapo vizuri tu mpaka akarudi meza ya mazungumzo na kuachia Sinai
 
Nafikiri lugha unaelewa vizuri "Both the Arabs and Israel declared victory in the war " mwisho wa kunukuu, hii vita Egypt hakupigwa,maana maumivu aliompelekea Israel ndio yalimfanya akae meza ya mazungumzo, maana kule UN Israel alisema wazi kilichopatikana vitani hakirudishwi labda na wewe upigane
Umesoma idadi ya vifo au unajitoa ufahamu, pia umeangalia kuwa sinai ilirudishwa kwa makubaliano, baada ya waarabu kupoteza vita 3 mfululizo kwa Israel?? au hayo mengine unajitia upofu
 
Kwasababu walikosa latest teknoloji kwa kipindi kile Israel alikuwa na Best teknoloji, ndio maana alipopewa zile Ant Air Missile (Saga ) na Soviet , Israel alichezea kichapo vizuri tu mpaka akarudi meza ya mazungumzo na kuachia Sinai
Hiloo ni suala lao kuwa na stock ya kutosha ya ammunitions
 
Umesoma idadi ya vifo au unajitoa ufahamu, pia umeangalia kuwa sinai ilirudishwa kwa makubaliano, baada ya waarabu kupoteza vita 3 mfululizo kwa Israel?? au hayo mengine unajitia upofu
Nimesoma na nafahamu, hakuna vita Israel wanajeshi waliuawa wengi kama vita ile, au majeruhi wengi kama vita ile, au vifaa vingi kuharibika kama vita ile 1973, na ndio maana baada ya vita ile Makamanda wengine walipigwa chini, ,na yule mama PM na waziri wake wa ulinzi waliundiwa tume kuchunguzwa maana maumivu yalikuwa makubwa sana sana, japo badae walionekana hawana hatia ila kiongozi wa Mossad alifutwa kazi
 
Hiloo ni suala lao kuwa na stock ya kutosha ya ammunitions
Hiloo ni suala lao kuwa na stock ya kutosha ya ammunitions
Alikuwa na Imani na US alipoona kumbe wao ndio wanampa jeuri Israel ndio akabadili upepo kwa USSR, na bahati nzuri zile silaha ziliwapa matokeo Chanya,maana zile Ant Tank (Saga ), ziliharibu vifaru vya kutosha vya Israel
 
Nimesoma na nafahamu, hakuna vita Israel wanajeshi waliuawa wengi kama vita ile, au majeruhi wengi kama vita ile, au vifaa vingi kuharibika kama vita ile 1973, na ndio maana baada ya vita ile Makamanda wengine walipigwa chini, ,na yule mama PM na waziri wake wa ulinzi waliundiwa tume kuchunguzwa maana maumivu yalikuwa makubwa sana sana, japo badae walionekana hawana hatia la kiongozi wa Mossad alifutwa kazi
Ila mwaarabu walipewa za uso maana vita ilipiganwa kwao so miundombinu yao ndio iliharibika zaidi

Kumvuka sosi nliyokuletea ni ya waarabu ndio maana wakaandika "BOTH CLAIMED VICTORY" nimefanya hivyo makusudi ili uone hata wao japo kwa kuficha wameonesha mwarabu aligaragazwa

Kwani si hata hii ya juzi na hamasi Waarabu wanasema Hamasi kashinda
 
Hapana mimi Nakubali Syria alipigwa maana lengo lake la vita ni kukomboa Golan Heights lakini alishindwa, MISRI ile vita alishinda maana lengo lake ilikuwa ni kukomboa Sinai, na mwisho wa siku Sinai ili rudi MISRI
 
Misri alishindwa battle but won war uwanjani alitandikwa ila alipata alichokitaka kwa njia na AMANI
 
Misri alishindwa battle but won war uwanjani alitandikwa ila alipata alichokitaka kwa njia na AMANI
Ahahahahaha sasa umeelewa ile vita ndio ilileta kuheshimiana Kati Israel na Misri mpaka leo, hakuna nchi yeyote toka 1947 mpaka leo, iliowai kuipa Israel maumivu makali kwenye uwanja wa vita Kam Misri mwaka 1973 , Misri alishinda vita
 
Jamaa walisema six day war ni kama "kupigwa mbelw ya mkeo na watoto halafu adui anaondoka na mkeo [sinai & sinai]"
 
Hivi vita haina ubishi waarabu walipigwa sana, na maeneo yao kuchukuliwa, Misri alijifunza akarudisha eneo lake, akafuta makosa yake
Na ndio maana humsikii Misri akiungana na waarabu wenzia kuishutumu Israel kwana wana mahusiano ya kibalozi toka kitambo sana
 
Na ndio maana humsikii Misri akiungana na waarabu wenzia kuishutumu Israel kwana wana mahusiano ya kibalozi toka kitambo sana
Hayo mahusiano hayakutokea kwa bahati Nasibu, Israel anajua wazi kuwa wa Misri wako imara kijeshi na kizalendo, ndio maana njia pekee ili kuneutralize threat ni kumfanya awe rafiki, lakini wakati Misri anakuwa rafiki mwaka 1979 anazaliwa adui mwengine ambaye ni Iran, Kwahiyo tabu iko pale pale
 
Misri kachapika mara zoote so kaona bora atulie zake saivi anaplay part ya kupatamisha wenzake tu, hutamsikia akilaani jambo lolote linatotokea Israel dhidi ya Hamas au Waarabu wenzake waka kusuply silaha. anajua vizuri ule mziki
 
Back
Top Bottom