"Siwezi Kuwa Na Msichana Ambaye Tayari Ana MTOTO"

Maneno Haya Yanasemwa Na Kijana Ambaye Kalelewa Na Baba Wa Kambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafsiri sahihi ya msichana ni binadam wa jinsia ya kike ambaye bado ni "bikra" akishafanya mapenz au kutolewa "bikra" tunasema ametolewa "usichana" hapo kama hana mtoto anabaki kuwa mwanamke tu na si "msichana" na ikiwa ana mtoto huyo pia si "msichana" bali ni mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Siwezi Kuwa Na Msichana Ambaye Tayari Ana MTOTO"

Maneno Haya Yanasemwa Na Kijana Ambaye Kalelewa Na Baba Wa Kambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa..huwa hawana kumbukumbu
Au unakuta mwingine yuko bize anawatukana single mother akati na yeye kalelewa na mama pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio kwasababu huyo baba wa kambo alikubali mwanamke aliezaa(mama wa kijana) basi kijana huyo hana haki ya kuchagua mtu anaemtaka kumuoa? Kuna uwezekano kijana alielelewa na baba wa kambo hataki kupitia njia hio tena kwasababu kaishi na anaelewa kilichomkabili.
 
Maelezo yako yanakinzana..
Kama alilelewa na baba wa kambo..asie wake akapewa mapenzi mema je kwanini aje kumsimanga mtoto. Wakati anatakiwa awe mfano wa kuendeleza yale alofanyiwa ya wema?
Labda kama alipitia mateso kwa baba wa kambo..lakini hata kama ulinyanyaswa hauna haki na sio vema kuendeleza ubaya kisa ulifanyiwa ubaya.
Ikifika hapo ajue kujitofautisha kati ya yeye na yule aliemlea..na awe kielelzo bora kwamba sio kila mzazi wa kambo ni katili au roho mbaya.

Iko wazi,kila mtu ana chaguo lake. Wala sio ubaya. Mtoto kaamua hawezi kuoa mwanamke mwenye mtoto. Kama baba yake wa kambo aliamua kumuoa mama yake akiwa na mtoto huo ni uamuzi wa huyo baba na si kigezo cha mtoto kutochagua mwanamke wa aina gani anamtaka. Kila mtu ana uhuru wa kuchagua amtakaye regardless of background.
 
Ni kweli sio jambo la lazima.
Lakini hapa issue ni kwamba kumsema vibaya...
Usimseme vibaya yule mtoto na mamake sababu wewe mwenyewe ulikua kwenye situation waliyopo.

Yani mfano wewe uliumwa ukapata dawa ukapona..muda baadae unakutana na mtu aneumwa ugonjwa kama ule..itakua jambo jema kumsema? Si busara hata ukikaa kimya ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Siwezi Kuwa Na Msichana Ambaye Tayari Ana MTOTO"

Maneno Haya Yanasemwa Na Kijana Ambaye Kalelewa Na Baba Wa Kambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli sio jambo la lazima.
Lakini hapa issue ni kwamba kumsema vibaya...
Usimseme vibaya yule mtoto na mamake sababu wewe mwenyewe ulikua kwenye situation waliyopo.

Yani mfano wewe uliumwa ukapata dawa ukapona..muda baadae unakutana na mtu aneumwa ugonjwa kama ule..itakua jambo jema kumsema? Si busara hata ukikaa kimya ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona sehemu mtu aliposemwa vibaya, sijui haya umeyatoa wapi? Mleta mada ameweka nukuu 'Siwezi kuwa na msichana ambaye tayari ana mtoto' Huu ni msimamo wa mtu sioni mtu aliesemwa vibaya hapa.
 
Mijadala ya namna hii kuhusu 'Singo' mother mara nyingi huishia kuwaumiza hao singo mothers...Mwenye kujifunza na ajifunze kupitia humo.Mara nyingi vijana wanaokaribia ndoa hushauriwa kuolewa au kuoa na wenza wasiokuwa na makandokando kuepuka mitafaruku. Mtu anakuaga 'naenda' kufuata ada kwa mzazi mwenzangu..!.kweli ? Hizi ni kero za kuepuka
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom