Mimi ni mtumishi katika serikali hii ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Nimeitumikia serikali kwa miaka 5 sasa na kadiri muda unavyozidi kwenda ndivyo ninavyotambua maeneo ya ndani, miradi mbalimbali ya serikali(iliyokamilika na isiyokamilika). Kwa moyo wa dhati niipongeze serikali kwa miradi iliyokwisha kamilika. Ni nia njema kwa serikali kuwaletea wananchi maendeleo na kuwapunguzia umaskini.
Kuna mambo mengi ndani ya serikali hayapo sawa, ila viongozi wetu hawayasemei katika mamlaka walipo. Serikali imepata hasara kubwa sana kwa miradi mingi kuanzishwa na kutokamilika.
Najiuliza hivi serikali haikuwa na malengo wakati inaanzisha hii miradi? Jibu ni hapana( hakukuwa na usimamizi nzuri na waliosimamia walikuwa wazembe). Kwa nini hawakuwajibishwa???he haikuwa na hela?? Jibu no hapana!!!
Hivi kweli kuna serikali hapa tz??? Ianzishe mradi wa milioni 200 ikose milioni 5 za kumalizia na kuacha hiyo milioni 200 ikioza kwa mradi ambao hautumiki??? Nooo!! Nimeumia sana. Miradi ya milions (summing billions and trilions) haijakamilika,imeachwa inaoza na haitumiki. Wadau nimejikuta nalia kwa kushuhudia miradi useless.
Ningekuwa raisi ningetafuta aliesababisha huu uzembe hata kama ni miaka 20 iliyopita nimnyonge hadharani. Tunaibiwa sana! Angejitokeza magufuli nimtembeze kwenye miradi mitano tu angelia.
Tatizo tulilo nalo watz wengi ni unafiki. Kuna wapinzani wanazungumza ukweli juu ya hili ila wana ccm wenzangu bungeni mnaniangusha sana. Msaidieni raisi anyooshe hii nchi kwa haki. Ningekuwa magufuli nione unanipongeza kinafiki nakuua!
Tunapaswa kumsaidia raisi kutenda haki katika kunyoosha tanzania na sio kutete akoseapo ili ionekane tunampenda!! Naumia sana kwa hii nchi. Tunafanya miradi mingi sana hewa.