Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Wadau mkubali mkatae Zitti alikuwa mwenzetu ila kwa sasa sio mwenzetu, zitto hakumpigia debe Slaa naq nilishaongea huko nyuma kuhusu Siri ya zitto kuwa kimya naona sasa wadau mmeamini. jamaa mimi naona katusaliti na atatiuharibia chadema Zitto, Mungu amzuie kwa nguvu zake maana mali zinamdrive vibaya mtoto huyu alizopewa na akina Rostam.