Elections 2010 Siwezi kushangilia ushindi wa zitto, ila umenipa hofu

Kadogoo

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,072
1,195
wadau mkubali mkatae zitti alikuwa mwenzetu ila kwa sasa sio mwenzetu, zitto hakumpigia debe slaa naq nilishaongea huko nyuma kuhusu siri ya zitto kuwa kimya naona sasa wadau mmeamini. Jamaa mimi naona katusaliti na atatiuharibia chadema zitto, mungu amzuie kwa nguvu zake maana mali zinamdrive vibaya mtoto huyu alizopewa na akina rostam.
mmeshaanza kugombana wenyewe hata kabla matokeo hayajatangazwa!!! Yaliyowafika nccr 1996 yananukia chadema!!!!
 

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,970
2,000
Wadau mkubali mkatae Zitti alikuwa mwenzetu ila kwa sasa sio mwenzetu, zitto hakumpigia debe Slaa naq nilishaongea huko nyuma kuhusu Siri ya zitto kuwa kimya naona sasa wadau mmeamini. jamaa mimi naona katusaliti na atatiuharibia chadema Zitto, Mungu amzuie kwa nguvu zake maana mali zinamdrive vibaya mtoto huyu alizopewa na akina Rostam.
Lisemwalo lipo ila ni vizuri tuhold kwanza haya mambo hadi pilika za matokeo ya uchaguzi zikamilike kabisa.
 

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
3,626
2,000
Wadau mkubali mkatae Zitti alikuwa mwenzetu ila kwa sasa sio mwenzetu, zitto hakumpigia debe Slaa naq nilishaongea huko nyuma kuhusu Siri ya zitto kuwa kimya naona sasa wadau mmeamini. jamaa mimi naona katusaliti na atatiuharibia chadema Zitto, Mungu amzuie kwa nguvu zake maana mali zinamdrive vibaya mtoto huyu alizopewa na akina Rostam.
Zitto, Zitto!
Naomba nimpe hongera Zitto kwa ushindi wake. HONGERA SANA!
Hilo la reputation, binafsi nimekuwa nikihisi ni kwa sababu mbili kuu. Kwanza ni nguvu ya pesa ambayo labda kijana ameipta bila kutegemea ktk umri wake. Kwa Wa-TZ wengi haya yametokea pale alipong'ang'ana kutetea maamuzi ya Tanesco. Naona alijisahau kwamba yeye siyo headmaster.

Sihitaji kumfundisha Siasa maana yeye ana-practice lakini hakuwa na sababu ya kwenda kinyume na mtizamo wa wananchi eti tu kwa sababu anajua mahesabu ya ndani ya Tanesco. Lakini kwa nini ajiamini hivyo.

Ni ile "invincibility syndrome". Tunapofanikiwa tena na tena ktk maisha huwa tunasahau kwamba kutofanikiwa kunaweza kututokea.
 

Edo

JF-Expert Member
Jun 11, 2008
728
170
Johnsecond, Slaa na mtu yeyote akipendekezwa na chama chake anaweza kugombea u-spika !!!

Spika na
mamlaka yake
Sheria ya
1984 Na.15
ib.14 Sheria
ya 1992
Na.4 ib.31
Sheria ya
1995 Na.12
ib.15
84.-(1) Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na
Wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni Wabunge au
wenye sifa za kuwa Wabunge; atakuwa ndiye kiongozi wa Bunge
na atawakilisha Bunge katika vyombo na vikao vingine vyote nje
ya Bunge.
 

rassadata

Member
Dec 16, 2009
72
95
mjadala wa Zito naomba tuufunge rasmi please,yawezekana wanaochangia mada hii siyo wana chadema,please tuwe makini na kuchangia mada hii; kimsingi Zitto ni mtu muhimu sana ndani ya chadema na ndiye hasa aliyehamasisha vijana wengi nchini kuichagua chadema. Please,kama tuna mapenzi mema na chadema basi tusiendelee kuchangia mada hii,haijawekwa kwa malengo mazuri.
 

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
1,195
Kwa kawaida zitto hana huruma na binadamu isipokuwa maslahi yake binafsi, and he will do anything
 

KunjyGroup

JF-Expert Member
Dec 7, 2009
352
170
Hey guys,jamaa ana point. Think bout this:
1. Zitto hakuwepo Jangwan wakat tunazindua campaign
2. Alishabikia ununuzi za Dowans.
3. He fought to take over chairmanship ya party akijua hana uzoefu na uwezo.
4. His best friend wrote an article (Ngurumo) sayin he was afraid Zitto anafurahia joto la Lowassa na Rostam.
Bottom line, Zitto ni mwana Chadema mwenzetu. He's smart. Anajua saiz hawez dandia a sinkin ccm.
Tafakarin!
 

Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
0
ni hakiaka ZITO SIO MTU wa kumwamini kihivyo
Hapana, unajua uchaguzi ni swala la siri na ni la mtu binafsi. Tatizo sio la Zito bali ni la wapiga kura ambao hawakujitokeza kupiga kura, sasa hapo Zito analaumiwa vipi? Watu wameuza shahada zao na pia kutokana na umasikini wao na ujinga wao. Mpaka sasa Zito ndio aliowezesha mabadiliko yote haya mnayoyaona leo, Zito ndio alietoa shutuma nzito dhidi ya Serikali ya CCM, yeye ndio alieipa wakati mgumu CCM bungeni, msisahau yeye ndio alieleta swala la RIchmond bungeni.

Kwa maoni yangu mimi naona Zito ndio chanchu ya mbadaliko yote ya kisiasa Tanzania manake yeye ndio amewezesha na kuupa Upunzani nguvu ya kuaminika na uwezo wa kuweza kuibua uozo mkubwa CCM imekua ikiufanya.

Bravo Zitto, muhimu sio idadi ya kura, ushindi ndio muhimu.
 

mpongopongo

Member
Nov 1, 2010
16
0
:yield::yield::yield:HONGERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA ZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZTOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom