Elections 2010 Siwezi kushangilia ushindi wa zitto, ila umenipa hofu

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,785
2,000
Inatia shaka maana kura za Ubunge zinatofautiana sana na zile za urais!!
 
Makanda

Member
Oct 29, 2010
77
70
Zitto ni Msua Hanunuliki kirahisi hivyo Zito alifanya kapeni sehemu nyingi na matokeo yake ni kuwa kule Mwanza CHADEMA kimeshinda, Kahama, CHADEMA Juu sasa ulitakaje wewe ?????
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
21,844
1,250
Wadau mkubali mkatae Zitti alikuwa mwenzetu ila kwa sasa sio mwenzetu, zitto hakumpigia debe Slaa naq nilishaongea huko nyuma kuhusu Siri ya zitto kuwa kimya naona sasa wadau mmeamini. jamaa mimi naona katusaliti na atatiuharibia chadema Zitto, Mungu amzuie kwa nguvu zake maana mali zinamdrive vibaya mtoto huyu alizopewa na akina Rostam.
mchawi si lazima abeeb tunguri... wewe ni mchawi

unapena kuona watu hawapatani

kaa na wasiwasi wako na ukiweza uandikie mashairi

nachoka na watu wanaopenda mgawanyiko kuliko mpatano
 
JAY2da4

JF-Expert Member
Nov 11, 2008
208
195
Wadau mkubali mkatae Zitti alikuwa mwenzetu ila kwa sasa sio mwenzetu, zitto hakumpigia debe Slaa naq nilishaongea huko nyuma kuhusu Siri ya zitto kuwa kimya naona sasa wadau mmeamini. jamaa mimi naona katusaliti na atatiuharibia chadema Zitto, Mungu amzuie kwa nguvu zake maana mali zinamdrive vibaya mtoto huyu alizopewa na akina Rostam.
watu kama wewe ni sawa na mafisadi tunaowakataa hapa.wacha maneno yako,wewe umeisaidiaje chadema?Zitto ni nguzo ndani ya chadema.
 
Campana

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
207
195
Mimi sioni kama kuna hoja yoyote kwenye hili. Chinua Achebe aliwahi kusema ' you should chase a wild cat away before warning a hen'. So si muda mwafaka kuanza kujadiliana nani ni msaliti na ni nani mwanamageuzi wa kweli. Wwashindi wote (hata Mrema) kwa sasa ni wanamageuzi
 
The Dreamer

JF-Expert Member
Feb 2, 2009
1,283
0
Nafikiri mchango wa Zitto kanda ya ziwa umetosha! Kama kigoma hawamtaki Slaa hiyo ni juu yao ila kijana amefanya kazi. Lakini pia kimbugu hiki cha tsunami ni Slaa na Zito waliokianzisha bungeni. So mchango wake tuthamini jamani!
 
Tonge

JF-Expert Member
May 7, 2010
696
0
Jama hata mimi nilianza kumhisi Zitto kama msaliti, nina hisi hela inamzuzua huyu dogo, ni jembe kweli ila for real amerudi nyuma kunadi wagombea ikiwepo Dr Slaa, hata kwenye ule mdahalo mkubwa wa ITV juzu kati hakuwepo na hali alikuwa pale milimani city na hummer lake anakula bata, mi nilihisi vibaya ila tumshukuru Mungu kuwa tumeingiza wabunge wengi wazuri kama Lissu,Mdee, Sugu nk ambao ni mwiba kwa serikali, watu watafanya kazi kama kawa bila shaka.Jirekebishe ZITTO bila CHADEMA usingekuwa maarufu kama ulivyo sasa.
 
Kinyambiss

JF-Expert Member
Dec 2, 2007
1,374
1,195
Zitto wanted SLaa to be a flop.. He is Machiavellian and is thinking about 2015+ himself. Mali tamu lakini this is a classic case of one that is after power and Slaa's popularity is not good for him. Keyword.... ZITTO aka himself. Fake!!
 
Tanzanian

Member
Sep 14, 2010
83
70
Twende Mbele na kurudi nyuma, Zito ni mtu mzuri sana, lakini kama opposition leader hutakiwi kusifia serikali
wewe upo pale ku criticize serikali, iweje uisifie.
Ila hamna neno. Let us hope for change
 
Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
0
Jama hata mimi nilianza kumhisi Zitto kama msaliti, nina hisi hela inamzuzua huyu dogo, ni jembe kweli ila for real amerudi nyuma kunadi wagombea ikiwepo Dr Slaa, hata kwenye ule mdahalo mkubwa wa ITV juzu kati hakuwepo na hali alikuwa pale milimani city na hummer lake anakula bata, mi nilihisi vibaya ila tumshukuru Mungu kuwa tumeingiza wabunge wengi wazuri kama Lissu,Mdee, Sugu nk ambao ni mwiba kwa serikali, watu watafanya kazi kama kawa bila shaka.Jirekebishe ZITTO bila CHADEMA usingekuwa maarufu kama ulivyo sasa.
Tonge, bora umeliona hilo, kuna watu bado wako kwenye historia we need to go forward. Sijasema kuwa zitto sio mzuriila CCM wameshamtega tayari hana pa kuongelea mimi namjua fika ndo maana naongea. Tunataka mabadiriko ndo maaana tunamsihi arudi kundini na kama wamemtega sana basi aende huko huko. Tukizungumzia historia hata Mrema alifanya vizuri huko nyuma sasa je anafanya nini?
 
Mantuntunu

Senior Member
Nov 1, 2010
137
195
Wadau mkubali mkatae Zitti alikuwa mwenzetu ila kwa sasa sio mwenzetu, zitto hakumpigia debe Slaa naq nilishaongea huko nyuma kuhusu Siri ya zitto kuwa kimya naona sasa wadau mmeamini. jamaa mimi naona katusaliti na atatiuharibia chadema Zitto, Mungu amzuie kwa nguvu zake maana mali zinamdrive vibaya mtoto huyu alizopewa na akina Rostam.
Agree with u ZITTO is a two faced and we know it, He is being watched very closely. He is not a true Chadema! We know all of him and Rostamio!. Watch out Zitto we know who u really are! Mnaomtetea hamjui ukweli. Mfuatilieni huyo mtu then u will know why we are saying this!
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
5,948

Acha za kuleta, Zitto hakufanya mikutano Shinyanga na Mara? Huko alikuwa ananadi mgombea yupi wa raisi? Mkoa wa Rukwa na Kigoma kuingia Chadema ni ushawishi wa nani? Bora ulete hoja ingine mfano Slaa apewe kiti cha Spika kama kura hazitatosha
 
Huna upeo, apewe usipka kwa katiba ipi? kaa pembeni
 
Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
0
Wadau mkubali mkatae Zitti alikuwa mwenzetu ila kwa sasa sio mwenzetu, zitto hakumpigia debe Slaa naq nilishaongea huko nyuma kuhusu Siri ya zitto kuwa kimya naona sasa wadau mmeamini. jamaa mimi naona katusaliti na atatiuharibia chadema Zitto, Mungu amzuie kwa nguvu zake maana mali zinamdrive vibaya mtoto huyu alizopewa na akina Rostam.
Huu si muda wake wapiganaji wengine bado wako vitani na wewe unaanza kutuletea zako acha hizo nenda kalinde kura kwanza.
 
Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
0
Agree with u ZITTO is a two faced and we know it, He is being watched very closely. He is not a true Chadema! We know all of him and Rostamio!. Watch out Zitto we know who u really are! Mnaomtetea hamjui ukweli. Mfuatilieni huyo mtu then u will know why we are saying this!
Many of us know the secret behind the scene, those who are praise Zitto are sited behind tall wall can’t see what is happening on the ground.
 
Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,266
1,195
hiyo inathibitisha yale yale ya Ayi Kweyi Ammah, kwamba the beautiful ones are not yet born
 
Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,365
2,000
Wadau mkubali mkatae Zitti alikuwa mwenzetu ila kwa sasa sio mwenzetu, zitto hakumpigia debe Slaa naq nilishaongea huko nyuma kuhusu Siri ya zitto kuwa kimya naona sasa wadau mmeamini. jamaa mimi naona katusaliti na atatiuharibia chadema Zitto, Mungu amzuie kwa nguvu zake maana mali zinamdrive vibaya mtoto huyu alizopewa na akina Rostam.
Mkuu hili mimi nilishalisema tangu mwanzo. Mimi ninauhakika, Zitto sio mpambanaji na amebeba bomu zito sana, CHADEMA wawe makini nae sana huyu bwa' mdogo
 
FDR.Jr

JF-Expert Member
Jun 17, 2008
1,349
1,250
Mzamivu mtarajiwa Zitto Zuberi kabwe ametenda kadri ya uwezo wake, amejituma hapa na pale na zaidi ameonyesha heshima na staha kwa wazee wake ndani ya Chadema, msikivu na muaminifu. Kuanzia sasa kwenda 2015 binafsi na umma tunahitaji msaada wake na wa wazee waaminifu na Kamanda mpiganaji Slaa kuibadilisha nchi na kuifanya Siasa ihudumie uchumi na si siyo Uchumi uhudumie siasa. Dira ikiwa ni hiyo nihesabiwe kuwa mvaa gwanda wenu kuelekea 2015 kwa roho moja na dhati ya roho yangu.

Bravo Zitto Zuberi Kabwe, Bravo Dr.Slaa and many thanks to Kiongozi Freeman Aikael Mbowe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom