Siwezi kushangilia ushindi wa zitto, ila umenipa hofu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siwezi kushangilia ushindi wa zitto, ila umenipa hofu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Johnsecond, Nov 1, 2010.

 1. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wadau mkubali mkatae Zitti alikuwa mwenzetu ila kwa sasa sio mwenzetu, zitto hakumpigia debe Slaa naq nilishaongea huko nyuma kuhusu Siri ya zitto kuwa kimya naona sasa wadau mmeamini. jamaa mimi naona katusaliti na atatiuharibia chadema Zitto, Mungu amzuie kwa nguvu zake maana mali zinamdrive vibaya mtoto huyu alizopewa na akina Rostam.
   
 2. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Hii imekaeje vile?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hapana..si kweli
  Ni wananchi wa kule ni WASWAHILI, kwa maana ya kwamba shule iko roborobo, na ogopa sana watu wa hivyo!
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Akafie mbali na tamaa zake. Ngoja tuone . Toka mwanzo washkaji walisema huyu hafai kabisa. Ni nduwila kuwili .
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tunajenga chama upya kuweka mizizi vijijini na kuuwa nguvu ya ujinga wa KICCM! Usije na Bundi muda huu! Vinginevyo unatafuta ubaya....Hongera Zitto Kabwe
   
 6. T

  The King JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaliyopita si ndwele....Hongera Zitto :peace::peace::peace:
   
 7. I

  Isskia Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huu ni uswahili na chuki za kinafki kaka, ukumbuke Chadema ilipotokea, vuta kumbukumbu usiwe unaropoka tu mkuu, ni huyu huyu Zitto Kabwe ndio aliyeanza kutufungua sis masikio mpaka leo hii Chadema imefikia hatua hii, Fikiri kabla ya kuropoka.
   
 8. M

  Mtemakuni JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  time will tell! Ngoja hii mambo ipite, akileta uccm lazima tumchuje kama wachuja nafaka! Its high time for revolution now and whoever go against us will end to hell........! So worry nat broda tunaendelea kumscan..
   
 9. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  "The one who laughs last laughs the best" ndo nyie mnashikilia unyerere, acha mambo hiyo uwe up to date.
   
 10. m

  masaiti Senior Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hongera sana Zitto,
  Ila jamani kwa kumpigia kampeni Dr Slaa, Zitto alifanya. Mbona amezunguka majimbo mengi kwa lengo la kuwanadi wagombea wa Chadema na Dr Slaa, amefika Kibaha, Sumbawanga, BUkombe, Musoma n.k. Je huko alikuwa nawanadi akina nani na kaka siyo wagombea wa Chadema? Tuwe fair jamani.
   
 11. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Isskia, hii sio Chuki wala nini maslahi ya taifa mbele, zitto kama angeshirikiana na wenzake Chadema wangefanya wonders kuliko hizi unazoziona leo. Zitto anakaa jukwaani anamsifu kikwete au wewe hujasikia? Zitto alisema kwenye face book yake kuwa kura za maoni za redet ni sahihi, ni mpinzani huyooo? ajirekebishe maslahi ya nchi mbele kaka.
   
 12. mundo

  mundo JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi naamini kuwa SLaa na wengine wote wameshamuona, kama vp? They already Know Whatsup!
   
 13. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Masaiti, nakubaliana na wewe alikuwa very weak kunadi wagombea wa Chadema sana sana aliwanadi rafiki zake tu. Sasa kama yeye Chadema inakuwaje anamnadi mgombea urais wa CCM? hata ukiangalia matokeo ya kwake yanaendana na JK na sio Slaa ina maana wananchi wangekuwa BOM wasingempa na yeye si wapinzani woote? na iweje aliyashabikia matokeo ya kura za maoni za redet?
   
 14. k

  king ndeshi Senior Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  SURE ZITTO is FAKE BUTT COWARD. :A S angry:
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Na imani kama alikuwa na mpango wa kutusaliti hatatusaliti tena mwenyewe kajionea upepo unavyokwenda Slaa ni nyota ya Watanzania
   
 16. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Cha muhimu ajirekebishe maana hili tunaongea tukiwa na hasira sio mchezo wa kisiasa, kwamba ajue kila anachokifanya anagusa maslahi ya nchi na wananchi hivyo awe makini na kama anataka CCMaende tu ijulikane moja. Alileta migogoro mingi kipindi kati chadema mpaka Slaa akamwambia aondoke tu hawatayumba kama chadema.
   
 17. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu humtendei haki Zitto!
   
 18. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,450
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hata majimbo ya Kigoma amempigia debe dokta Slaa vizuri tu. Ana mapungufu yake lakini bado ni wa manufaaa sana.
   
 19. Lenana

  Lenana JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 422
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  huyu naye vipi umetumwa? ficha upumbavu wako hapa! umeipata hiyo!? zitto ni mwenzetu na aliyekutuma au kama umejituma hatumo humo na hatudanganyiki!
   
 20. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Huu ni wakati wa kuzika haya mambo mkuu!!! CHADEMA inapaswa kujenga mizizi vizuri na si kujibomoa kama haya yako.

  Hongera Zitto!!
   
Loading...