Siwezi kununua T- shirt ya "njaa inauma" badala ya kununua mahindi ya chakula

Kila kikitokea tu kitu wanachapicha matisheti wanauza ,ukuta,njaa,,washaona hayo tu hawawezi kufanya vitu vingine wakapaza sautii mi upinzani ushanichosha hakuna wanachofanyaa aiseee,na sipigi kura mpaka nakufa
 
Kuna bibi kifimbo cheza humu, akija utanishtua, nije nijifunze namna ya kuandika jamii folam vizuri
 
Kila kikitokea tu kitu wanachapicha matisheti wanauza ,ukuta,njaa,,washaona hayo tu hawawezi kufanya vitu vingine wakapaza sautii mi upinzani ushanichosha hakuna wanachofanyaa aiseee,na sipigi kura mpaka nakufa
Hongera sana
 
Upinzani sasa hivi wamekosa maono.Kila siku vituko na usaliti.Hawana malengo, watu waliwakubali lakini baada yakugundua wanavyojichanganya kwenye misimamo yao wenyewe,wamekosa mvuto.Huwezi shawishi watu wanunue T-shirt za njaa badala ya kununua chakula.Bila kubadilika upinzani unakufa.
 
Kila kikitokea tu kitu wanachapicha matisheti wanauza ,ukuta,njaa,,washaona hayo tu hawawezi kufanya vitu vingine wakapaza sautii mi upinzani ushanichosha hakuna wanachofanyaa aiseee,na sipigi kura mpaka nakufa

Karibu CCM mkuu.
 
Kuna mtu kaingia mkenge eti anazuia watu kuvaa tisheti! Hahahaha dah sijui wanae wanamuangaliaje mzazi wao, hapa logic ni simple.

Kuna njaa, una hela ya kununua chakula, umeamua kununua tisheti. Mbuzi wewe nakuacha na ujinga wako.
 
Habari wadau,

Binafsi siwezi kununua Tshet ya 20,000 ya njaa inauma badala ya kununua mahindi nile na watoto. Wanaonunua hizo T-shirt hawafikirii kwa makini.
Yawezekana hawajali ujumbe labda uimara. Maandishi hayohayo yapo kwa kiingereza kwenye t-shirt nyingi zinazotoka nje na za mitumba na watu wananunua vizuri tu bila kuhoji. Mfano "Hungry Man" au "Food Seeker" au "Foodless Help...
 
Nani kanunua t-shirt kwa 20 elfu, waweza weka risiti au ushahidi?, na aliyevaa hivyo haionyeshi directly kuwa kakumbwa na baa la njaa,hivi aliyevaa t-shirt ya UKIMWI UNAUA unajua hata wasomaji 20 huweza pata picha tofauti kulingana na uelewa wao!
 
Back
Top Bottom