Kwa macho yoteHahaaa umeona ee
Lakin hucheka sometimes kuwafrahishaKama hio avatar yako ya sungura afahamika ujanja kajijazia wenzake anawacheka sungura huwazomea
Kule hawaruhusiwi watoto, na kuingia mpaka umuombe mod akuunganishe ndio uweze kuacess...Mkuu hilo jukwaa la wakubwa ndo laitwaje?
HahahaAisee me mtoto ntaota usiku kwa mambo ya huko
Inaonekana doctor kaathirika na picha ya kwanza.... Sasa anaitwa wagonjwa chemba 'wakamsaidie'Wewe una ugonjwa wa kutuma picha sehemu yeyote utakayo pata nafasi,ki taalam huo ugonjwa unaitwa Photosynthesis, unione PM nikupe dawa
Tupo wengi aisee weka hio dawa hadharan wapone na wengine.