Siwapendi wanaojiita wanasiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siwapendi wanaojiita wanasiasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGUVUMOJA, Jul 2, 2011.

 1. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kusema ukweli, walio wengi(may be 90%) ya hawa wanaojiita/tunawaita politicians wana target interest ya jamii kisha wanavalia njuga majukwaani kuombea KURA a.k.a. ULAJI kisha baaas. Hamna utekelezaji wa vitendo. Sanasana inaishia kuombwa radhi tu. 'Kumradhi ndugu zangu niliahidi 1 2 3 lakini bahati mbaya sikuweza sababu 1 2 3 4. Lakini sasa nipeni tena muone spidi yangu'
  Baaaasi tunaishia kupiga miayo tu.
  Nachukia kweli!!!!!!!!!
   
Loading...