Siwaelewi wanaume wa karne hii

Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Umenyimwa hela?

Povu kama lote, pole sana.
 
Kuwa maarufu hapa kuna faida nyingi bana. Ukianzisha sredi inachangamkiwa na wananzengo haidodi hata siku moja. Pia ukisema kitu unasikilizwa; na ikitokea ukaporomoshewa matusi au kudhalilishwa na masadists wa hapa unakuwa na watu wengi wa kukutetea. Pia huko PM kwako kutakuwa hakukauki - wasalimiaji, watongozaji n.k...miamala left and right. Na siku hizi kuna stories of change unaweza kuandika chapisho lako huko halafu ukaanzisha amsha amsha ya kupigiwa kura mwisho wa siku unashinda unaondoka na milioni 5 keshi

Mimi mbona nipo tu ila hapa katikati kuna mod alikuwa na bifu na mimi alikuwa akinitandika ban kila kukicha. Nadhani sasa nimemalizana naye. Thanks Jojo

Aliyehack hii account airudishe chap!!
Huu mwandiko sio wa SHIMBA YA BUYENZE ,mwandiko urudiwe 😂

Hahahahh huyo mod amekupa pumziko la siku chache tu,ratiba yake iko pale pale
 
50/50 mbaya sana wanawake wakija kishtuka washachelewa huko mbele unaweza ukasikia WAVULANA nao wanadai usawa wa kijinsia.

Na mara nyingi wanawake wenye hela na mwanaume mwenye misimamo ya kiume hawaivi, ndio maana wanaishia kuwapata Mario,baadae wanakuja kulalamika humu kwenye majukwaa.

Acheni kulalamika wanaume wa karne hii kwani mme watengeneza wenyewe na kila siku zinavyoenda, version mpya ya Mario wanazidi kuiboresha kupiti kampeni zao za 50/50 na women empowerment.
Wanawake wanapenda wanaume weak ili wawaburuze wanavyojiskia😂 ila mwanaume kamanda inakuwa ngumu kumpelekesha!

Wanaishiaga kati tu na kuvunja uhusiano nao wanataka mario wa kuwazaba vibao!
 
Ebu kila mtu kwanza atafute ela zake ukute anaekupiga kizinga cha laki 3 nae hana hata tembo wanne, inshort na yeye anashida na njaaa tu, halafu mke ndo anahudumiwa ukiwa nae ndani siyo mara mchumba sijui mpenzi sijui vitu gani ebu kila mtu ashinde mechi zake
 
Kimsingi ukishaona binti anachanganya mapenzi na pesa tambua tu unadate na muuzaji na si mtu wa kumtumainia kumfanya mke siku za usoni. Kinachobaki hapo wanaume tunapiga mbususu kutokana na gharama tunazoingia na siku tukikinai, tunanyanyua majeshi kwenda kambi nyingine sampuli kama ya awali mpaka tukutane na hapana hiyo kwanini usiiweke tu itatusaidia baadae huwezi jua ya kesho, mara mpenzi wangu una matumizi mabaya ya pesa mm sipendi siyo vizuri. Naam kwa kauli hizi sasa tunajipachika kama tatto na si stickers tena then tunafanya maisha.
 
Kwanini tusizisake wote hizo pesa from scratch. Why wait around at the finish line and not at the start of a man's race??
hawezi kukujibu mkuu huyu ni sampuli za wale wanawake hawana namna ya kuingiza pesa zaidi ya kutumia viungo vyao vya mwili. Hivyo basi si rahisi kujibu swali lako.
 
Usitegemee kijana wa under 20 akawa na good life,hapo kwanza ndiyo katoa Chuo,bado ana hustle kitaa,alianza walau 30 hivi ndiyo mambo yanaweza anza kunyooka taratibu! 40 huko mambo yapo kwenye msitari! Sasa wewe baada yakuanza nae from the scratch unasubiri atobod ndiyo ukajipachike?? Unadhani atakuheshimu??
hakuna under 20 anayekuwa kamaliza chuo mkuu labda vyuo vya kati na VETA.
 
Sure mkuu,nilikosea
pamoja kaka, hawa wadada wanapenda kutuona tukiwa tumeshine tu wajilete ila ukiwa bado juani hakuna anayetaka kukujua kabisa. Na ndiyo maana nimeapa sitakuja kuoa mwanamke niliyempata wakati wa mafanikio. Nitasort tu wale wa kwenye hali ngumu lakini bado wakanipa mapenz bila shilingi
 
Yaani kaka wanatufanya kama source of income zao! Mwanamke analalamika kabisa hapewi pesa,wakati huo msela upo unapambana na maisha! Na siku mambo yamenyooka baby nyingi za hapa na pale! Wakati una pambana walikua wanakuona si kitu,si chochote!
mm kuna demu aliniambia kabisa kama huna hela usije kunitembelea daah alinifikirisha sana siku hiyo ila nikapiga moyo konde siku zikaenda, yy akautumia usichana wake vibaya maana kipindi hicho alikuwa kigoli kweli. Baada ya miaka kadhaa kupita tukakutana morogoro katika harakati za kutafuta maisha, daah huwezi amini lile umbo namba nane halipo tena yani kiuno hakieleweki kiko wapi tumbo linaanzia wapi. Uso umechunda kwa kujichubua, ziwa kama ananyonyesha watoto yatima. Kazalishwa watoto wawili basi tukabadilishana namba. Sasa sikuhizi kila muda akituma sms lazima asisitize niende kumtembelea. Basi tu sinaga roho ya visasi ila ningemjibu hovyo.
 
Eti umesema mzinga wa laki3!!!

angalia wenzako:cool::cool:
2964564_Screenshot_20211015-121855.jpg
 
Upendo gani huo wa kufanyana tu!! Huo ni upendo au uchizi
emoji2297.png
emoji2297.png
We hajui Tu simna fanyana mnaposubiria kuowana mwenzio hajakaa sawa kimaisha unamvumilia ajipange unampunguzia mizigo Sasa jamani mnataka tutafute hela tutafute mke tutafute Malaya wakupunguziana tamaa. Bado tuwape hela Malaya tusave kwaajili ya kesho. Tutafika kweli!!? Wanawake sisi wanaume sio wagumu kiasi hicho sisi tunahitaji ndoa zaidi hata ya nyinyi
Upendo gani huo wa kufanyana tu!! Huo ni upendo au uchizi
 
Kwa hiyo asipokuwa na mahusiano na pesa afe na utamu wake?😂
Mkibania sana huo utamu nyegezi zikizidi mnapata ule ugonjwa wa kuchekacheka,hapo Baharia yoyote atakayekuwa karibu,Tunda linamuangukia anajilia tu kimasihara.

Mwisho wa siku utatoa tu,wengine watakula kwa hela na wengine bure kabisa.
Hakuna atakaye kufa na utamu!
 
Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Wewe ni MWIZI! Huna hata aibu unalalamikia kupewa fedha juu ya mapenzi!!? Yaani kweli unautweza utu wako, maumbile yako kwa money exchange!!?
 
Mabaharia kama huna hela kama mimi jitahidi mara chache upendeze tuwachakate hawa wajinga wanaopenda hela
Mimi nazichakata sana nikipiga pamba zangu za kipindi nipo chuo mfukoni nna jero tuu wanajigonga gonga wanakuja kustuka nimemlia outdoor na condom ya serikali(Cupid) na hela hajapata anaishia kutukana
 
Back
Top Bottom