StingRay
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 503
- 628
NEC hii inawahusu sana.....!!!!!
Hivi kabisa kabisa kabisa watanzania pamoja na tunu zetu zooooote tunakubali hili kwa gharama sifuri?
Mgombea yupo kwenye kampeni za kiti cha uongozi wa juu kabisa katika nchi hii anaahidi wapiga kura watarajiwa na wananchi kwamba, "Mkichagua upinzani sitaleta maendeleo hapa" kweli? Kwani maendeleo hapa maanake nini? Ni kuboresha huduma za kijamii?? Au inamaana nyingine?
Kwamba mgombea anaahidi kuvunja katiba kwa kuwabagua wananchi katika maendeleao kwa minajili ya chama/vyama vya siasa??? Kweli kabisa??? Nec mpo kimya? Watanzania wote wapo kimya? Na wanashangilia na kupiga makofi?
Yaani kiongozi mkubwa kabisa wa nchi anayeaapa kuilinda katiba kabla ya kurudi ikulu anaapa kwabagua wananchi wake kwa minajili ya vyama vya siasa? Hivi huyu ni kiongozi au mtawala? Is he a leader or a ruler?
Hivi kodi hizo wanaolipa ni ccm pekee? Muda wote hii nchi inamatukio yatiayo kinyaa na kichefuchefu.
Ombi...Kanisa Katoliki Tanzania litoe tamko kali la hatuwatendei waumini wetu na watanzania wote yatupasayo mbele za Mungu..