Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

Wabongo wanafiki sana, maana asilimia 70% ya wanamuziki na waigizaji wanaiunga mkono serikali iliyoko madarakana.
Lkn pia viongozi wa dini karibu zote wanaiunga mkono serikali na hakuna aliyewahi kusimama na kukemea unyanyasaji ufanyikao zaidi ya viongozi wacheche( tena wa kuhesabika), lkn bado tunawaona viongozi hao wanabusara na tunawaunga mkono tu.
Tuache Ujinga
 
Pia kama sababu ndio hiyo, basi naona future ya wasanii wa Tanzania kuchukua tuzo mwaka huu nje ya nchi ni ndogo sana kwa maana wengi wa wasinii walisima kwenye majukwaa ya chama tawala.
 
Msanii, kiongozi yoyote wa kidini na public figure yeyote ambaye jamii yote inakutazama bila kujali dini, kabila na rangi yako, ni marufuku kujihusisha na masuala ya siasa na kuonyesha itikadi zako moja kwa moja kwa jamii inayokuangalia bila kujali support wanayokupa watu hao.
 
Msanii, kiongozi yoyote wa kidini na public figure yeyote ambaye jamii yote inakutazama bila kujali dini, kabila na rangi yako, ni marufuku kujihusisha na masuala ya siasa na kuonyesha itikadi zako moja kwa moja kwa jamii inayokuangalia bila kujali support wanayokupa watu hao.
Umetoa wapi hii marufuku?
 
Unapofanya kazi yoyote ile ogopa sana kuonyesha mahaba kwenye chama, dini, mchezo fulani, kabila n.k
Kumbuka washabiki wako kwenye makundi hayo. Ukiwa upande mmoja unawagawa mashabiki wako na matokeo yake ndiyo hayo.
Kundi ninalolikubali ni weusi. Hawa watu wa wanastahili heshima
Chama Cha mapinduzi,
Hakina kosa lolote kilikuwepo toka tunaita TANU,Ni chama kinachojulikana sehemu kubwa Sana Tanzania nzima.

Kimemulika kata huko vijijini ndani ndani ambako wakazi wa huko hawajui hata maana ya Chadema,CUF n.k,ukweli unaouma Ni kuwa Diamond platinum anaonewa Sana ,Tena Sana.

Pasi na Shaka Mimi najua wasanii wengi hata siasa hawajui vizuri,wanachoangalia wao Ni wapi wakijiunga watajipatia mkate wao wa kila siku,

Sanaa Ni ofisi yao,Ni kazi yao,Ni sehemu ya vipato vyao,hata ingekuwa mimi aina ya serikali ya awamu iliyopita Ni msanii gani angeonesha kutokusapoti?nisieleweke vibaya ila adui akikushinda nguvu ungana nae,

Sisi tupo huku nyuma ya keyboard tunakosoa tutakavyo kwakuwa si rahisi sisi kuonekana, Diamond platinum Ni brand tayari inayoonekana,

Myself nitampigia kura Diamond platinum,kwakuwa Ni mtanzania mwenzangu,na ni sehemu ya kuendelea kumuunga mkono

Burna boy Ni mega artist kwa Sasa ana vigezo vingi japokuwa Mimi simpigii kura

NB: kila mmoja ana Uhuru wa kumchagua amtakaye awe,Chadema, CCM,Simba,Yanga,awe timu kiba,n.k
 
Huo ndiyo ukweli. Linapokuja kwenye suala la kuhitaji support ndiyo matokeo yake hayo.
Ni sawa na timu ya taifa kuvaa jezi zilizoandikwa CCM au CHADEMA. Utakuja kushangaa siku ya mechi watanzania wanaishabikia timu ngeni.
Umetoa wapi hii marufuku?
 
Wanaharakati wa Twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021. Wanaharakati hawa wa CHADEMA wao wanampigia kampeni Burna Boy kutoka Nigeria ili awe mshindi.

Hivi unajiuliza hawa CHADEMA hizi kampeni zina mkono wa chama chao au ni kikundi cha watu tu wa CHADEMA wameamua kukichafua hicho chama.

Nchi hii ipo huru kuwa mpenzi wa chama chochote, iweje mtu akiwa mpenzi wa CCM aonekane ni msaliti?

Diamond ameanzisha Wasafi Radio na Wasafi TV. Kupitia hivyo vyombo vya habari ametoa ajira nyingi kwa watanzania. Ni mwanamuziki gani mwingine wa Tanzania ambaye ameweza kuanzisha vitu vinavyoajiri watu wengi kiasi hicho?

Hebu tuache chuki za kijinga.

Ameajiri watz au waccm? Hujui tz kuwa CCM unakuwa raia wa daraja la juu kuliko mtu asiyefungamana na upande wowote?
 
Tatizo sio kupigia kampeni CCM..90% ya Wasanii walifanya hivyo..Ila kujifanya Bashite mlezi wao walikosea Sana...kumpa sumu Dimpoz mkigoma (Mrundi mwenzake)nalo kosa...niishie hapo..
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom