Siungi mkono hotuba ya Rais Kikwete, SA

Nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya Kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa Madiba lakini yeye ameonesha kuwa Madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila Tanzania.

Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.

Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine Madiba kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!

Kikubwa ameonge mambo sahihi lakini si mahala pake.

Mwenye akili timamu ataona kuwa kuna madhala makubwa juu ya speech hii

Ametudhalilisha sana
Huu ni mtizamo wako sasa iweje utusemee wengine? Umedhalilika wewe kutokana na ulivyoitafsiri.
 
Kuna Kijiji kinaitwa IkatolaNyerere"Unyayo wa Nyerere" wilayani Kyela. Kumbe Nyerere alishuka toka garini na kukanyaga ardhi hapo kusaliia na wanakijiji
 
Huyu jamaa ni mburura tu,kwa nini usiunge mkono Mimi nimeiunga mkono na nimefurahi...ni kweli wa sauzi tuna history nao jamaa.we we utakuwa na chuki za ki**ma.kama wewe ni cdm Mimi ni zaidi yako..mimi naijua cdm kitambo nimefurahi hotuba ya jk
 
Kama huyo mandela unayemsifia alikubali yeye mwenyewe kwa kinywa chake kwamba kama sio Tanzania na mwalimu asingefika popote then wewe unaona tunajikweza na misifa aliousema jk ni ukweli ambao wengi hata wakiuona hauna maana ila ndo hivyo walilala kwetu wakatumia na passport zetu laiti tusingewasaidia pengine damu nyingi ingemwagika au hata malengo ya huyo mandela yasingetimia
 
Nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya Kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa Madiba lakini yeye ameonesha kuwa Madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila Tanzania.

Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.

Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine Madiba kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!

Kikubwa ameonge mambo sahihi lakini si mahala pake.

Mwenye akili timamu ataona kuwa kuna madhala makubwa juu ya speech hii

Ametudhalilisha sana

Hapo kwenye RED, mbona uzi wako umekaa kisiasa sana? Hayo madhala makubwa yatatokana na yeye kusema Nyerere alimpelekea viatu au nini hasa? Maana accusation zako zote juu ya hotuba hiyo kikubwa ulichokiona kimekudhalilisha ni hicho ndiyo maana umekiandika na hukuandika kingine.

Hebu weka siasa pembeni na ushabiki majitaka utuambie kaongea nini hasa kitakachotuletea madhara makubwa?
 
Mkuu nimemuuliza swali kama hilo lakini amekaa kimya. Mleta mada njoo ujibu ulichoulizwa.
 
Huyu jamaa ni mburura tu,kwa nini usiunge mkono Mimi nimeiunga mkono na nimefurahi...ni kweli wa sauzi tuna history nao jamaa.we we utakuwa na chuki za ki**ma.kama wewe ni cdm Mimi ni zaidi yako..mimi naijua cdm kitambo nimefurahi hotuba ya jk

Mapovu ya nini bwana mdogo? bado mnautumwa wa kifikra
 
Mkuu nimemuuliza swali kama hilo lakini amekaa kimya. Mleta mada njoo ujibu ulichoulizwa.

Kama umediriki kuchangia hoja maana yake umeielewa, ingekugharimu nini kuipotezea? Nyie mutu ovyo kabisa
 
Just imagine Madiba kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!

Kikubwa ameonge mambo sahihi lakini si mahala pake.

Mwenye akili timamu ataona kuwa kuna madhala makubwa juu ya speech hii

Ametudhalilisha sana

Hii alipiga chabo hapa hapa JF
 
Nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya Kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa Madiba lakini yeye ameonesha kuwa Madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila Tanzania.

Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.

Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine Madiba kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!

Kikubwa ameonge mambo sahihi lakini si mahala pake.

Mwenye akili timamu ataona kuwa kuna madhala makubwa juu ya speech hii

Ametudhalilisha sana

Naona sasa Taifa linazidi kuwa na vichaa wengi. Mimtamu nadhani % kubwa ya ubongo wako ni wa ngedele na bado ulikuwa katika transformation ya kuwa binadamu
 
Back
Top Bottom