Siungi mkono hotuba ya Rais Kikwete, SA

Mimtamu

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
368
105
Nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya Kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa Madiba lakini yeye ameonesha kuwa Madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila Tanzania.

Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.

Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine Madiba kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!

Kikubwa ameonge mambo sahihi lakini si mahala pake.

Mwenye akili timamu ataona kuwa kuna madhala makubwa juu ya speech hii

Ametudhalilisha sana
 
Nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya Kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa Madiba lakini yeye ameonesha kuwa Madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila Tanzania.

Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.

Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine Nyerere kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!

Ametudhalilisha sana

Kwa kweli jina lako linareflect hali uliyonayo. Wewe ni mtamu na wanaume wanafaidi utamu wako.
 
Nikiwa kama mtanzania mwenye mtazamo tofauti, nimejaribu kusikiliza hotuba nyingi mpaka sasa naona ya Kikwete imejaa sana ubinafsi na dhihaka wengi wanasifu na kuutambua mchango wa Madiba lakini yeye ameonesha kuwa Madiba si lolote si chochote na asingeyafanya hayo bila Tanzania.

Historia haijirudii na ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa tumeshiriki vyema bt yeye katumia chance hiyo kama kujihalalishia masifasifa.

Kama mlikuwa makini, vicheko vya watu havikuwa vya kuvutiwa kwa hotuba bali ni utoto na ulimbukeni wake aliyokuwa anatoa. Just imagine Nyerere kusahau viatu na yeye kumpelekea, INAHUSU!!

Ametudhalilisha sana
Ndio uwezo wako wa kufiri umeishia hapo?
 
Kwani kuna cha uongo chochote alichosema Kikwete? kama vicheko vilikuwa vya kebehi je na makofi yote yale yalikuwa ya kinafiki? ulitaka na yeye aseme Tanzania ilisaidiwa na Madiba wakati ukweli ni Madiba ndio alisaidiwa na Tanzania?
 
We kweli mtamu! Mbona mjukuu wake kaongelea kuhusu Madiba alivyokuwa akitongoza msichana kwa kumkimbizia kuku! Zile zilikua ni speech za kueleza unachokumbuka kuhusu marehemu na mwisho kutoa pole.
Ndio maana wote walieleza mpaka
mambo funny ya Mandela. Speech ya Kikwete ilikua nzuri kwani yeye alitakiwa amuelezee mandela ni jinsi gani alishirikiana na Nyerere na Tanzania ki jumla katika kuikomboa South Afrika na nchi nyingine za south. Ndio angle alitakiwa kuiongelea na si kujikweza. Ndio maana alishangiliwa.
 
We binti utakua mwanga si bure, JK alichoongea pale hakuna cha ubinafsi kwan historia ya S.A na TZA ndio zilivyo......na kuhusu viatu vya mandela kusahauliwa, mbona sisi kuna sehemu zinaalama za nyayo za mtemi huko Tabora na wati huwa wanaenda kuziangalia mpaka leo.
 
Kweli wewe Mtamu....Tunakupa ww fursa ya kutoa hotuba yenye akili hapa JF kwa kuandika ili tukuone
 
Back
Top Bottom