Siungi mkono hili wazo la Waziri Mkuu kuruhusu ibada kuendelea ili hali tunajua kabisa ibada inahusisha mikusanyiko ya watu kutoka maeneo tofouti

Mkuu unashangaza sana na huenda hili tatizo la kuona kila ushauri inayotolewa na Serikali haufai siyo wewe tu linakusumbua " mpo wengi mno".
Haya ni madhara ya kupuuzia kitu au kutanguliza hisia na pre-conceived ideas badala ya kusikiliza kwa kina na kuliangalia jambo katika upande zake zote kama lilivyo.
Suala la Waziri Mkuu kupokea kijiti halina maana yoyote kwenye hoja yako zaidi ya kuonesha unavyotaka kuonesha ushauri walioutoa hauna maana na kusahau suala la msingi ni hoja ulitaka kujenga na siyo mtu.
Nimeshangazwa zaidi unapokuwa msomi halafu unaelewa jambo nisunusu "little knowlegde" na kukurupuka kana kwamba ndivyo lilivyo.Nakumbuka mmoja wa Walimu walionifunisha (Profesa Mosha ) pale Udsm alisema hakuna jambo la hatari kama watu kuwa na maarifa nusunusu na ni afadhali ya yule ambaye hana kabisa.
Serikali haina Dini ni sawa lakini umesahau kumaliza kuwa "watu wake wana imani tofautitofauti".Unataka kusema Serikali haina Dini na watu hawana Dini pia au?..(this is what we call half knowledge).
Tujifunze kuelewa jambo kwa kina na katika mawanda yake yote kabla ya kukurupuka kukosoa.
,itatusaidia sisi na vizazi vyetu.
Just for a good will.
Stay safe in this high time of war against the tragedy named COVID-19.
What is your point buddy!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jihami Mungu Anasikia Maombi yako ukiwa popote!
IMG_20200414_183114_642.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom