Situations zinazopelekea kuua mtu bila kujiuliza

Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,306
3,550
Leo tuandike uzi wa makasiriko kidogo za upendo upendo tushaziandika sana. Si mara zote Dunia inataka upendo tu kuna muda inabidi uwe mwenye roho mbaya ila roho mbaya roho ya ndani ambayo haijioneshi mpaka yakufike/upitie changamoto fulani (Act as defensive mechanisms), japo kuna watu wameamua roho mbaya kuwa maisha yao.

Kutegemea kupokea matendo mazuri malazote kutoka kwa watu kisa una roho nzuri sawa na Swala kutegemea hatoliwa na Simba eti kisa yeye hamli Simba.

Kuna Scenario kama tatu(3) ambazo zikinifika suala la kuua(kuuwa) mtu kwangu litakuwa si lakujiuliza kabisa... Kwaharaka nakumbuka Situation mbili tu

1) Defensive Situation: Napokuwa kwenye hali ambayo inahutaji niuwe mtu ili niwe hai, nife au niishi mfano *nimevamiwa na wauwaji nyumbani
*mwizi mwenye silaha nimeonana nae uso kwa uso
*watu nisiowajua wamenikamata msituni
_Katika situation hizo nikipata loophole kama panga kali nampelekea mtu makali shingoni.

2) Kutaka kugeuzwa mwanamke (kulawitiwa): either watu fulani tu wanataka kukukomoa au sababu yoyote si hoja suala wanataka kukufarawiti tu; situation hiyo ikipatikana loophole nikakamata panga kali Dunia itaziba mdomo yule bwana wakwenye Movie ya SAW atashika daftari ajifunze kitu.

“Binadamu tujakamilika, kutokukamilika kwetu ndio ukamilifu wetu” Da'Vinci
 
Kama nitashuhudia mtu anataka kumuua mtoto wangu, mke wangu, kaka, baba au mama yangu afu nikapata upenyo wa kukamata panga aise nitaacha mafungu mafungu ya nyama za mtu.
 
Ukiniletea unajua "Mimi ni nani?" "Huna cha kunifanya na umenidhulumu" naweza chezea kichwa chako kama mpira
 
Kuua sio vibaya

The law of survival states that “To survive,the life must eat the life”

Umekuwa ukiua uhai wa viumbe mbali mbali kuku,mbuzi,ng’ombe ili upate chakula uishi.

The same law itakuwa applied ikitokea nchi imeingia kwenye vita watanzania tutaua sio kwa ajili ya kitoweo bali ku survive lakini ukweli unabakia pale paple tumetumia law ile ile...

Kuua kubaya km sababu kuu za kuua hazipo..

Ndo maana wanajeshi walipigana vita tunawaita mashujaa na kuwasifu.Leo hii ukivamia na majambazi ukawaua unaitwa jasiri na sio muuaji...

Ni concept pana kdg inahitaji open minded people kuijadili na sio wafia dini
 
Leo tuandike uzi wa makasiriko kidogo za upendo upendo tushaziandika sana. Si mara zote Dunia inataka upendo tu kuna muda inabidi uwe mwenye roho mbaya ila roho mbaya roho ya ndani ambayo haijioneshi mpaka yakufike/upitie changamoto fulani (Act as defensive mechanisms), japo kuna watu wameamua roho mbaya kuwa maisha yao.

Kutegemea kupokea matendo mazuri malazote kutoka kwa watu kisa una roho nzuri sawa na Swala kutegemea hatoliwa na Simba eti kisa yeye hamli Simba.

Kuna Scenario kama tatu(3) ambazo zikinifika suala la kuua(kuuwa) mtu kwangu litakuwa si lakujiuliza kabisa... Kwaharaka nakumbuka Situation mbili tu

1) Defensive Situation: Napokuwa kwenye hali ambayo inahutaji niuwe mtu ili niwe hai, nife au niishi mfano *nimevamiwa na wauwaji nyumbani
*mwizi mwenye silaha nimeonana nae uso kwa uso
*watu nisiowajua wamenikamata msituni
_Katika situation hizo nikipata loophole kama panga kali nampelekea mtu makali shingoni.

2) Kutaka kugeuzwa mwanamke (kulawitiwa): either watu fulani tu wanataka kukukomoa au sababu yoyote si hoja suala wanataka kukufarawiti tu; situation hiyo ikipatikana loophole nikakamata panga kali Dunia itaziba mdomo yule bwana wakwenye Movie ya SAW atashika daftari ajifunze kitu.

“Binadamu tujakamilika, kutokukamilika kwetu ndio ukamilifu wetu” Da'Vinci

Vipi ukimfumania mkeo...? 🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom