Situation in Kenya Will Not Impact Tanzania

Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,854
Likes
112
Points
160
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,854 112 160
Re: Chairman's Corner - Friday, December 05, 2008
Title: Situation in Kenya Will Not Impact Tanzania
Author: Jim Sinclair

Dear Friends,

The situation in Kenya has been making headlines lately, prompting questions from many of you regarding its potential impact on Tanzania. I want to state without reservation that the situation in nearby Kenya presents no problem whatsoever to the Republic of Tanzania which has a long history of stable, democratic government.

In my opinion, Tanzania remains the best place in Africa to conduct business and that's why we are there. My friend, Tanzanian President, Jakaya Kikwete, will not tolerate misconduct from inside or outside his country's borders - a policy that is enforced by the strongest military outside the Republic of South Africa.

At the request of the Kenyan people, President Kikwete is presently trying to negotiate a settlement of the issues that have caused the serious unrest in Kenya. Upon reflection, perhaps the U.S. could learn something from the Kenyans who refuse to have elections stolen from them without significant protest. I have promised my stockholders that no spin or lies will come out of this company under my watch and I assure you all the above is fact.

Respectfully,

Jim Sinclair

Copyright © 2008 TANZANIAN ROYALTY EXPLORATION CORPORATION (TNX) All rights reserved. For more information visit our website at http://www.tanzanianroyaltyexploration.com/ or send email to info@tanzanianroyaltyexploration.com .
Message sent on Sat Jan 5, 2008 at 1:50:29 PM Pacific Time
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
84,153
Likes
126,853
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
84,153 126,853 280
A statement to protect his investments.
 
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Messages
11,506
Likes
246
Points
160
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2006
11,506 246 160
Achana na huyu mwizi wa raslimali zetu.Anachosema ni kwamba Tanzania inaendelea kuwa nchi inayofaa kwa wanyonyaji kama yeye na marafiki zake wanaomsetiri.
 
K

Koba

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
6,143
Likes
508
Points
180
K

Koba

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
6,143 508 180
CEO lazima uwaweke sawa na kuwahakikishia usalama wa pesa zao investors wako la sivyo hukawii kuona kwenye lile big board NYE/London number ziki turn red,hawa watu wanaishi kwa pressure kubwa kuliko maraisi wengi wa nchi za third world acha walipwe hayo mamilioni
 
M

Mwendapole Old

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Messages
249
Likes
17
Points
0
M

Mwendapole Old

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2006
249 17 0
Re: Chairman's Corner - Friday, December 05, 2008
Title: Situation in Kenya Will Not Impact Tanzania
Author: Jim Sinclair

Dear Friends,

The situation in Kenya has been making headlines lately, prompting questions from many of you regarding its potential impact on Tanzania. I want to state without reservation that the situation in nearby Kenya presents no problem whatsoever to the Republic of Tanzania which has a long history of stable, democratic government.

In my opinion, Tanzania remains the best place in Africa to conduct business and that's why we are there. My friend, Tanzanian President, Jakaya Kikwete, will not tolerate misconduct from inside or outside his country's borders - a policy that is enforced by the strongest military outside the Republic of South Africa.

At the request of the Kenyan people, President Kikwete is presently trying to negotiate a settlement of the issues that have caused the serious unrest in Kenya. Upon reflection, perhaps the U.S. could learn something from the Kenyans who refuse to have elections stolen from them without significant protest. I have promised my stockholders that no spin or lies will come out of this company under my watch and I assure you all the above is fact.

Respectfully,

Jim Sinclair

Copyright © 2008 TANZANIAN ROYALTY EXPLORATION CORPORATION (TNX) All rights reserved. For more information visit our website at http://www.tanzanianroyaltyexploration.com/ or send email to info@tanzanianroyaltyexploration.com .
Message sent on Sat Jan 5, 2008 at 1:50:29 PM Pacific Time
What a general statement!
Yaani huyu jama ameona impact pekee ni kwenye area yake ya kazi, Duh!
 
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,854
Likes
112
Points
160
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,854 112 160
Kwa kifupi ni kwamba hakuna mzungu mzuri kwa Tanzania na Watanzania .
 
J

JC

Member
Joined
Dec 19, 2007
Messages
43
Likes
1
Points
0
J

JC

Member
Joined Dec 19, 2007
43 1 0
Re: Chairman's Corner - Friday, December 05, 2008
Title: Situation in Kenya Will Not Impact Tanzania
Author: Jim Sinclair

Dear Friends,

The situation in Kenya has been making headlines lately, prompting questions from many of you regarding its potential impact on Tanzania. I want to state without reservation that the situation in nearby Kenya presents no problem whatsoever to the Republic of Tanzania which has a long history of stable, democratic government.

In my opinion, Tanzania remains the best place in Africa to conduct business and that's why we are there. My friend, Tanzanian President, Jakaya Kikwete, will not tolerate misconduct from inside or outside his country's borders - a policy that is enforced by the strongest military outside the Republic of South Africa.

At the request of the Kenyan people, President Kikwete is presently trying to negotiate a settlement of the issues that have caused the serious unrest in Kenya. Upon reflection, perhaps the U.S. could learn something from the Kenyans who refuse to have elections stolen from them without significant protest. I have promised my stockholders that no spin or lies will come out of this company under my watch and I assure you all the above is fact.

Respectfully,

Jim Sinclair

Copyright © 2008 TANZANIAN ROYALTY EXPLORATION CORPORATION (TNX) All rights reserved. For more information visit our website at http://www.tanzanianroyaltyexploration.com/ or send email to info@tanzanianroyaltyexploration.com .
Message sent on Sat Jan 5, 2008 at 1:50:29 PM Pacific Time
In my opinion, Tanzania remains the best place in Africa to conduct business and that's why we are there.
Kwa tamko hilo lazima tuwekane sawa: Wawekezaji au wafanyabiashara kutoka nje ya Tanzania..wasiwe wapuzi na majuha. Wasome nyakati na waeende na nyakati. Kamwe wasidanganye. Wajiulize ..TZ is Best Place ... in africa nini imeifanya hivyo? Nini Kitaifanya isiwi hivyo?

Wa Tz tumekaa kimya sana huku tukisifiwa kinafiki na hao wanao tutumia kibiashara na kutonyonya na kutupa vilemba vya ukoka.

Wanachoshindwa kugundua ni kuwa Watanzania wanaamka. Na Taratibu wanagundua Wanyonyaji hawa wa Kisasa...Watandawazi na Wawekezaji etc...walivyowachota viongozi wetu kwa vijisifa vya kijinga visivyo na msingi kabisa.

Maana ya Kiongozi? Ni kuongoza kundi la watu wengi kwa kuliwakilishia malengo na matakwa yao popote. Kama kiongozi atashindwa kuwakilishia kundi hilo(Wa Tz). Kundi hilo linaweza kuamua kujiongoza lenyewe na kumpuuzia kiongozi huyo. Kinachotokea hapa ni kuwa viongozi wetu wangesoma nyakati wagundue kuwa wanatakiwa sasa kutuongoza waTz kwenyekumiliki rasilimali na uchumi wetu Hivyo watakuwa wametuwakilisha.

Vingnevyo kama miujiza vile kuna wakati watanzania watajikusanya na watajiongoza wenyewe kama kundi lisilo na Kiongozi. Wwafanyabishara na wawekezaji wasidanganye. Wajiulize kuwa Hali hiyo ikitokea wao watakuwa wapi?

Cha msingi sio kutusifu kijinga kujinga na hovyo hoyvo. Wajiulize kuwa kweli wanatufanyia haki kwenye rasilimali zetu? Kama wanfikiri ni sawa wanaweza kupumzika na kujisifia ukarubu wano na Viongozi wetu..hata wa juu kabisa. Lakini kama hawa tutedei haki za Kiuchumi..wajue .. hilo lina mwisho..Na mwishowake watambue kuwa hauwi mwanana na wakupendeza. Haijalishi watakuwa karibu kiasi gani na viongozi wa juu. Chamsingi Wanaoongozwa watajitwalia Uongozi mikononi mwao. Na Hapatakalika. Ujumbe kwa viongozi wetu: Wanafikiri kinachosemwa hapa hakiwezekani na wao wanaweza kuendelea kuwabeba wafanyabishara hoa kifisadi tu..huku wakisifiwa kijinga..na kushiba sifa na vijizawadi !!Ona viongozi wa kenya wanavyoshindwa kuwakilisha wananchi wao.WANACHI WAMEJIMWAGA MITAANI WANJIONGOZA WENYEWE!! Wawekezaji wasijivuie mikataba ambayo haijasimamia HAKI NA USAWA WA KIBIASHARA. Watizame Kenya palivyokaa sasahivi. Kuna nafasi ya kulindwa na mikatba feki? Hali kama hizo inabidi kuzizuia kwa HAKI ZA KIBISHRA NA FURSA SAWA KIUCHUMI. Na hilo ndilo tunalitegemea viongozi wetu walifanye. Na wawekezaji walione walitafakari na walitekeleze. Ni hapo ndipo unweza kusema.......
In my opinion, Tanzania remains the best place in Africa to conduct business and that's why we are there.
 
T

Taasisi

Member
Joined
Dec 28, 2006
Messages
56
Likes
1
Points
15
T

Taasisi

Member
Joined Dec 28, 2006
56 1 15
Tukisifiwa shida. Tukitukanwa shida! What is wrong with us?

La maana kuna ukweli hapo juu ya state yetu kuwa peaceful than most of African states.

Majungu na fitina ndio zimetujaa kwenye sociey yetu na uchochezi bila kuwa na hoja zenye nguvu.

Kama wawekezaji wanafaidika na mikataba yetu finyu, basi tuichambue hiyo mikataba na kuhakikisha imesimama imara and then sie wenyewe tufanye kazi kwelikweli sio malumbano yasioisha.

Ukiwa na muda jaribu kusoma maendeleo ya uchumi ya Singapore and compare that to Tanzania. Kumbuka founder wa modern day Singapore was a one of the friends of Nyerere from that part of the world.
 
F

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2007
Messages
4,765
Likes
126
Points
160
F

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2007
4,765 126 160
My friend, Tanzanian President, Jakaya Kikwete, will not tolerate misconduct from inside or outside his country's borders - a policy that is enforced by the strongest military outside the Republic of South Africa.
Mimi naona lugha yake imekuwa condescending mno. Yaani rafiki yake ! Sijawahi kusikia mtu asiye raisi au mfalme au waziri mkuu (executive) akimwita mkuu wa nchi publicly kuwa rafiki yake. Nakumbuka kizaazaa kilichotokea Bush aliponaswa akimwita Blair kwa jina la ukaribu. Halafu huyu bwana ana hint kuwa huyu rafiki yake ni mbabe, (perpetuating the perception of the African Bigman which is not always complimentary) na mwisho anatusifia na kuwa jeshi lenye nguvu ( kwa vifaa, idadi ya askari, motivation au nini?) Africa nje ya South Africa.Sisi ambao tunachangiwa vyandarua Davos! Mimi sikufurahia matamshi yake. Ni kilemba cha ukoka.
 
A

Agao Kichore

Member
Joined
Sep 26, 2007
Messages
89
Likes
0
Points
13
A

Agao Kichore

Member
Joined Sep 26, 2007
89 0 13
Re: Chairman's Corner - Friday, December 05, 2008
Title: Situation in Kenya Will Not Impact Tanzania
Author: Jim Sinclair

Dear Friends,

The situation in Kenya has been making headlines lately, prompting questions from many of you regarding its potential impact on Tanzania. I want to state without reservation that the situation in nearby Kenya presents no problem whatsoever to the Republic of Tanzania which has a long history of stable, democratic government.

In my opinion, Tanzania remains the best place in Africa to conduct business and that's why we are there. My friend, Tanzanian President, Jakaya Kikwete, will not tolerate misconduct from inside or outside his country's borders - a policy that is enforced by the strongest military outside the Republic of South Africa.

At the request of the Kenyan people, President Kikwete is presently trying to negotiate a settlement of the issues that have caused the serious unrest in Kenya. Upon reflection, perhaps the U.S. could learn something from the Kenyans who refuse to have elections stolen from them without significant protest. I have promised my stockholders that no spin or lies will come out of this company under my watch and I assure you all the above is fact.

Respectfully,

Jim Sinclair

Copyright © 2008 TANZANIAN ROYALTY EXPLORATION CORPORATION (TNX) All rights reserved. For more information visit our website at http://www.tanzanianroyaltyexploration.com/ or send email to info@tanzanianroyaltyexploration.com .
Message sent on Sat Jan 5, 2008 at 1:50:29 PM Pacific Time
Mr. Sinclair, you might be correct as you speak as as an investor who I can say you do not know how Tanzania and Kenya relates in business. The impact is very huge. Those people living near Kenya boarder, Lake zone and Northern Zone are now feeling the heart of unrest situation in Kenya. The problem of our leaders is that they consider Dar es salaam as Tanzania. But price for various commodities have almost doubled. Only a week ago a bag of Cement has risen from Tshs 16000 to 20000 today.
The situation to Tanzania leaving near boarder areas is worse than you can imagine. No fight but our leaving are in question.
 
Pundit

Pundit

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Messages
3,741
Likes
45
Points
145
Pundit

Pundit

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2007
3,741 45 145
Such a name dropping, influence peddling bloodsucker.

Yaani Sinclair kila akitaja jina la Kikwete lazima adondoshe "my friend" na anahakikisha anatumia kila upenyo wa kumtaja Kikwete kama rafiki yake.

Ukiona mtu anakazania kuupigia mstari sana urafiki ujue huyo ana lake jambo.Urafiki wa kweli unaonekana tu na wala hauna haja ya kupigiwa mistari miiingi.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,399
Likes
50,143
Points
280
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,399 50,143 280
Hakuna ubaya wowote mtu kumwita mwingine rafiki yake...
 
F

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2007
Messages
4,765
Likes
126
Points
160
F

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2007
4,765 126 160
Wahenga walisema, Familiarity breeds contempt. Bush aliponaswa akimwita Blair, Yo Blair, ilizidisha imani kuwa Tony ni kijibwa, kwa lugha yao poodle, wa Bush. Tunakumbuka wakati wa Rais Mwinyi, jamaa kama Gulamali(RIP), Azim Dewji walivyo abuse ukaribu wao ( walivyodai) na mheshimiwa Rais. Kunawengi tu ambao wana haki zaidi ya huyu Sinclair, Mheshimiwa Rais, rafiki maana walicheza naye mpira utotoni, walisoma shule moja, walikuwa wote JKT, n.k. Hii watafanya privately, na hata pengine kumwita kwa majina ya utotoni. Lakini in public huyu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anatakiwa aheshimiwe hivyo. Haki ya kuitana marafiki na kadhalika hadharani wameachiwa hao walio katika ngazi yake. Na wanatakiwa kufanya hivyo kwa heshima zote zinazostahili. Sivyo alivyofanya huyu bwana. Kama alivyosema, name dropping etc. kuonyesha ana special access kwa Mheshimiwa. Ukijumlisha wanavyotuchukia waafrika tulivyo, ni safari fupi kuamini kuwa anasema mheshimiwa yuko kiganjani mwake. Sinclair akimwita hivyo in private sina matatizo nae. Lakini in public? No way!
 
Gigo

Gigo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2006
Messages
455
Likes
39
Points
45
Gigo

Gigo

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2006
455 39 45
mmmm!Nita amini vipi Kwamba kura ziliibiwa?
Lakini Kwanini usiachie vile wananchi wananchi wanavyotaka!!?..Basi tuambie Kwanini? au jiuzuru!!...Tupe sababu!!Una weza Ukawa una maana na sababu za Msingi za wewe kufanya hivyo...
Ili Hata viongozi wa dini nao waseme Ni Hiyo NI NINI? Majini au nini?

Nai ombea kenya Amani Furaha Na Utani..
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,882
Likes
68
Points
135
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,882 68 135
This man does not know what he is talking about. Kenya is the second foreign investor in Tanzania(kama sijakosea) If Kenya is shutterd we are f...ed. Na sasa tunaona joto kiasi, ingawa baadhi wanaweza kuzuga kuwa hali ya Kenya haijtuathiri!
 
Forum statistics

Threads 1,275,187
Members 490,931
Posts 30,535,383