sitting room za uswahilini full vituko

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,794
zimepambwa na mipasho kila kona au maandishi ya kiarabu>sio QURAN> au hirizi
tupia unalokumbuka kama haya
YA KWETU YAACHE KAMA YALIVYO
NI KWELI LAKINI HAYAKUHUSU
JIRANI YAKO MBAYA WAKO
 
Mgeni karibu ila uyaonayo na uyasikiayo yaache humu humu


ukija uje na yako umbea nyumbani kwako

kupenda sio kazi kazi kumpata akupendae

naishi niwezavyo siishi mtakavyo..
 
Heri kujikwaa kidole kuliko ulimi

Fuata nyuki ule asali

Hakuna siri ya watu wawili

Jino la pembe si dawa ya pengo

Kipendacho moyo ni dawa
 
Mgeni karibu ila uyaonayo na uyasikiayo yaache humu humu


ukija uje na yako umbea nyumbani kwako

kupenda sio kazi kazi kumpata akupendae

naishi niwezavyo siishi mtakavyo..

dah.. kuna watu wakiongea humu unajua kabisa huyu ni wa mbagala au tandale..! duh!
 
Back
Top Bottom