Sitta umetwishwa zigo,onyo kwa viongozi wengine ccm kueni macho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitta umetwishwa zigo,onyo kwa viongozi wengine ccm kueni macho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Japhari Shabani (RIP), Apr 11, 2011.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tumekua tukishuhudia maamuzi,kauli na vitendo vingine vingi vya ajabu na aibu kutoka kwa viongozi wa CCM na serikali.Ni kweli kuna wanaotoa kauli,kuunga mkono au kushiriki katika maamuzi bila kujua au kwa upeo mdogo wa kuelewa,mazoae na ushabiki ,hawa tunaweza kuwasamee.Kuna kundi lingine la viongozi katika CCM ambao tunaweza kuwahita wanaupeo na uwezo wa kushauri au kupambanua lipi sawa na lipi sio sawa.Viongozi hawa wanapokaa kimya na kunyamazia yale yote mabaya yanayotendeka katika CCM na serikali ni wa SALITI Kwani wanashiriki katika maamuzi ambayo ni hatari na mzigo kwa taifa.Hawa tunawezakusema wako huko kwa ajiri ya matumbo yao na si kwa manufaa ya Taifa Kilichotokea kwa Mh.Sitta huko Visiwani liwe funzo kwa viongozi wa CCM ambao tunazani bado wanachembe ya uchungu wa Taifa.Niwazi Mh.Sitta alielewa zigo analolibeba(mswaada wa katiba)Kama mwanasheria,linamapungufu makubwa na umeandaliwa kwa makosa lakini akaamua kulibeba.Huku ni kujidhalilisha hivyo onyo kwa viongozi makini kama mpo mliobaki CCM msikubali kubeba madudu ya ajabu.MUNGU IBARIKI TANZANUA
   
 2. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Samahani sijakuelewa
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  ngoja nikoroge kahawa huyu jamaa anaexecute mambo ndani kwa ndani.......hii thread sijui imekaa vipi
   
 4. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Hili ni fundisho kwa kila mwana-ccm kuacha unafiki. Hawa watu ni hatari sana...wako tayari kuiuza nchi ili kukifurahisha chama. Kila wanachofanya ni chama wakisahau kuwa kuna watu wasio na chama ambao hawapendelei kabisa kuona taifa letu likiangamizwa kwa sababu ya chama chochote kile cha kisiasa.
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Dalili ya kuchoka uanza taratibu Mahudhui ya thread sijayaelewa au mwandishi yupo baa??Mivaluer hiyo no else!!
   
Loading...