Sitta: Sisubiri ruhusa ya mtu yeyote, nani asiyejua kuwa Chenge ni mtuhumiwa?

..Sitta aache kujiumauma.

..aachane na hii habari ya Chenge ni "mtuhumiwa", atamke waziwazi kwamba Chenge ni fisadi.
 
Who the Hell is this yknown as Dr Banna, Hivi huyu ni msemaji wa Magamba???????


La Lowassa Chenge limewashinda


Ngoja nisiseme,naweza pewa Bann


Amekataliwa na CCM na sio Wa Tanzania, hivi huyu Mzee ni Poyoyo???


Holy Cra.p, Lowassa labda akawe Rais wa Monduli


Namslikitikia kwa Sababu CCM ni sikio lililo Kufa afadhali hata lingekuwa ni la Kufa.
Umemchambua vizuri sana huyo anayejidai ana PhD, ya Political Science, ambaye amejigeuza mchumia tumbo wa magamba!! Huyo jamaa, anasababisha hata wasomi wengine wenye heshima zao, wananchi wasiwe na imani nao sana. Lakini atambue kuwa huo uchambuzi wake unaosukumwa na njaa yake, hautaweza kubadlisha mawazo ya wananchi wanaotaka mabadiliko makubwa ya kisiasa, kwa kuwapiga chini Magamba!!
 
Sasa Msekwa anasema dhana ya kujivua gamba imeisha huyu Bana anasema ipo na inatekelezwa. Sasa kuwa na statement zinazokinzana si uwendawazimu kweli

Kwni Bana ni nani ndani ya CCM?
 
Comments za Dr. mmhhh! No wonder Tz is a sick man of East Africa! Ni nani asiyejua chaguzi za ccm zimegubikwa na rushwa na minyukano ya makundi ya mafisadi? DR. hajafanya homework yake, au anajipendekeza angizwe kwenye ulaji.
 
Sasa sitta na yeye yaanii watu wa kanda ya ziwa taabu sn nachelea kusema wanamatatizo kisiasa...yaaniii kamuona chenge ndio wa kumsema shv wkt nii wa kanda yake anashindwa kushambulia wasio jirani zake yaaniii buree kbs hawa
 
Unaweza kuwa umesoma sana lakini bado ukawa mjinga na hivi ndivyo alivyo bwana Bana, kila anapotoa hoja zake nashangaa huyu ni msomi kweli au ulevi wa ushabiki!
 
Unaweza kuwa umesoma sana lakini bado ukawa mjinga na hivi ndivyo alivyo bwana Bana, kila anapotoa hoja zake nashangaa huyu ni msomi kweli au ulevi wa ushabiki!

kuna watu wanajivunia kufundishwa na huyu juha ...
 
Uchaguzi
unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) umeelezwa kuwa utabiri
mwema kwa chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 kutokana na
kuingiza sura mpya huku vigogo wakibwagwa.


Aidha, baadhi ya waliong'ara katika uchaguzi huo
wametabiriwa neema kushika nafasi za juu katika Serikali ukiwamo urais
mwaka 2015 ikiwa watakuwa tayari kusafisha madoa waliyonayo.


Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,
Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala, Dk Benson Bana aliliambia gazeti
hili jana kuwa CCM imedhihirisha ni chama dume, chenye demokrasia na
ukomavu kisiasa.


Akifafanua, alisema: "Uchaguzi unadhihirisha wazi
kuwa CCM bado inadunda na dhana ya kujivua gamba inatekelezwa, watu
zaidi ya 5,000 walipitishwa Dodoma huku sura mpya zikijitokeza, miongoni
mwao ni vijana, wazee hata wakulima"......

Huyo mtu Benson Banana anawadhalilisha wasomi wenzake.
 
D.c wa sehemu fulani aliwahi sema kuna degree za chupi! Je hii Phd ya Bana ni ya kishoga au kichupi? Mbona hawezi kuchambua mambo akiwa neutral kama mtaalamu zaidi kuwa biased nakutengeneza hoja zenye masilahi ya watu fulani.
 
Benson Bana yuko kundi gani? kwani anaonyesha wazi hapa kwamba hata yeye ni gamba linalonufaika na matunda ya ufisadi kutoka kundi fulani; most likely la EL!!
kam umekuwa ukifuatilia kauli za msomi wetu huyu, yeye ni mpiga debe wa CCM siku zote.
 
Sitta ni fisadi pia aliuuza na kubinafsisha masirika mengi wakati yupo IPC
Alikaribisha hao
wawekezaji
wanakomba kila kitu
Ni mchumia tumbo na msemaji wa kanisa lake dhidi ya kikwete
Tumuulize miaka yote 50 ya utumishi serikalini amewafanya nini wa TZ
Kuna watu wakikosoa serikali wanakubalika lakin ni wale wasio kuwa na doa la rushwa
Sitta hayumo humo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Bana amebana mpaka ameachia na sasa anajulikana wazi kuwa ni wa chama cha magamba. Sasa tunazielewa bila wasiwasi zile tafiti zake za kuchakachua.
 
Inawezekana Samwel Sitta hawampi nafasi ya kukosoa chama awapo kwenye NEC,hivyo tuwe fair kidogo...tusikilize mantiki ya anachokiongea,tutafakari na kuona kama kina ukweli kabla ya kupinga kila kitu anachosema kwa kuwa tu alituchukiza pahala. Kuhusu huyo Dr. Bana labda kwa wale wasiofuatilia siasa za UDSM.

Kuna siku Professor mmoja ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA,kwa sasa ni mtumishi wa Chuo cha Mt.Augustino jijini Mwanza...wasifu wa ziada ni mjumbe wa tume ya ukusanyaji maoni kuhusu katiba mpya.

Aliwahi kukiri kwamba,mazingira ya kazi UDSM ni mazuri na salama zaidi ikiwa utapendelea rangi za kijani na njano...BAREGU Kwa hiyo, anachokifanya Dr. Bana ni mwendelezo wa aina ya siasa za akina Mukandara. Inawezekanaje, kuwataka mafisadi wengine ndani ya chama wapigwe chini ila Lowassa mwenye madoa asafishwe?
 
Eti halafu unatoka pale UDSM huku unajigamba kuwa eti mwalimu wangu ni Bana, sijui anawafundisha nini pale wanafunzi
yule jamaaa ninamashaka sana na udakta wake labda wa karatasi cheti lakini kudelever results pale cheche pumba tupu anajishushia na anaishushie heshima taaluma nzima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom