VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Due to sympathy votes and all that, lakini sababu ya ufisadi na mengineyo najua hawawezi kumtumia hopefully atajoin upinzani

apumzike tu awe mshauri wa chama1SITTA a.k.a mpigania haki will be the right candidate for presidency in 2015 kwa chama mbadala
Ni ngumu kwa CCM ya sasa kumsimamisha mtu yeyote alieko kwenye system hii atakuwa mchafu tu. CCm ili ipate ushindi mwaka 2015 mgombea anatakiwa atoke nje ya System ama nje ya nchi au machakani kabisa asiwe ana hudika kwa lolote na mambo yanayojili kwasasa WATASHINDA vinginevyo no no no no noooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna wakati walikuwa wanchimba risiti zake ofisi ya bunge labda wanaweza kuendeleza ili wakimpata wamfanye kama Hassy KitineMkuu hili wazo siku nyingi ninaliwaza!! Huyu Mr. 6 ndiye pekee ninaona ana nguvu ya kuidindosha SSM. Ila SSM wameshamshtukiwa na kuamua kumwondolea uspika ili nguvu ya kuondoka SSM ipungue. Anyway, na umri wake umeshayoyoma hivyo atapumzika tu baada ya miaka hii mitano tena kwa heshima asithubutu kugombea ubunge 2015 maana watamweka pembeni kama mzee wetu wa Mtera. Kama kuna mtu ssm wana hasira naye basi ni Mr. 6 na ninafikiri wanamtafutia jungu la kummaliza. He must be very carefully and smart!!
Kwa umri alio nao 6 ningefurahi kama angepumzika mara tu bunge la 10 litakapovunjwa.