Elections 2010 Sitta: Kutoka Uspika hadi Uwaziri; safari ya anguko inakaribia

skeleton

Member
Aug 17, 2010
60
3
Aliyekuwa mpinga ufasadi na spika wa bunge mh. Samuel Sitta kwa mtazamo wangu amejimaliza kabisa kisiasa.

Nasema hivyo kwani kwa kukubali kubaki na kungojea cheo atakachopewa na JK(nasema anangojea cheo kwani sioni sababu nyingine ambayo ingemfanya abaki CCM baada ya kujeruhiwa hivyo), ni kwamba amekubali kununuliwa na hawezi kupinga ufisadi kwenye chama ambacho ni cha kifisadi. Hii inamaanisha kwamba juhudi zake zote za kupinga ufisadi ni sifuri kama amekubali kumkumbatia JK na pia kwa kukubali kubaki kwenye chama kilichomjeruhi vibaya sana katika kinyang'anyiro cha uspika.

Yote aliyoyafanya nyuma kwangu mimi yanakuwa hayana maana tena kwani amerudi kundini kwa mafisadi hata kama yeye si fisadi, lakini ndo keshamkumbatia bosi wake ambaye ni fisadi. Kumpinga itakuwa ngumu sana kama atapewa ulaji naJK, na hata akipinga havitakuwa na nguvu akiwa ndani ya chama kwani atakuwa keshawekwa mfukoni kwa kupewa ulaji.

Mh. Sitta nae anaonyesha nae ana njaa kwani hamna sababu ambayo ingemfanya aendelee kubaki ndani ya CCM kama si njaa na kusubiria kupozwa cheo. Inamaanisha nae anapenda cheo kuliko wananchi aliodai anawapenda sana na anatetea maslahi yake. Sikutegemea kwa mtu mwenye busara kama yeye bado angebaki CCM.

Kwangu mimi ni kwamba amekwisha vunjwa miguu kabisaa. Na hatakuwa tena na nguvu za kupiga vita ufisadi kama JK atampa ulaji. Na hii ina apply kwa wapinga ufisadi wote walio ndani ya CCM hawatakuwa na nguvu sana ya kupambana na ufisadi kwani sasa hivi vigezo vya CCM ni kwamba kama unataka kuwa mwana CCM mzuri, criteria ya kwanza ni either usipinge ufisadi au uwe neutral.

Kwa kifupi CCM ni chama chenye viongozi wanao encourage ufisadi na hivyo inakuwa ndio itikadi ya chama na wanachama wake wote! Huwezi kupinga ufisadi vizuri ukiwa ndani ya chama cha wasanii na majangili kama kina Rostam, Lowassa, Makamba, JK n.k. Watakumaliza tu! Hivyo mh. Sitta kabla hujachelewa ondoka CCM! Hujachelewa!
 
Aliyekuwa mpinga ufasadi na spika wa bunge mh. Samuel Sitta kwa mtazamo wangu amejimaliza kabisa kisiasa. Nasema hivyo kwani kwa kukubali kubaki na kungojea cheo atakachopewa na JK(nasema anangojea cheo kwani sioni sababu nyingine ambayo ingemfanya abaki CCM baada ya kujeruhiwa hivyo), ni kwamba amekubali kununuliwa na hawezi kupinga ufisadi kwenye chama ambacho ni cha kifisadi.

Hii inamaanisha kwamba juhudi zake zote za kupinga ufisadi ni sifuri kama amekubali kumkumbatia JK na pia kwa kukubali kubaki kwenye chama kilichomjeruhi vibaya sana katika kinyang'anyiro cha uspika. Yote aliyoyafanya nyuma kwangu mimi yanakuwa hayana maana tena kwani amerudi kundini kwa mafisadi hata kama yeye si fisadi, lakini ndo keshamkumbatia bosi wake ambaye ni fisadi.

Kumpinga itakuwa ngumu sana kama atapewa ulaji naJK, na hata akipinga havitakuwa na nguvu akiwa ndani ya chama kwani atakuwa keshawekwa mfukoni kwa kupewa ulaji. Mh. Sitta nae anaonyesha nae ana njaa kwani hamna sababu ambayo ingemfanya aendelee kubaki ndani ya CCM kama si njaa na kusubiria kupozwa cheo. Inamaanisha nae anapenda cheo kuliko wananchi aliodai anawapenda sana na anatetea maslahi yake. Sikutegemea kwa mtu mwenye busara kama yeye bado angebaki CCM.

Kwangu mimi ni kwamba amekwisha vunjwa miguu kabisaa. Na hatakuwa tena na nguvu za kupiga vita ufisadi kama JK atampa ulaji. Na hii ina apply kwa wapinga ufisadi wote walio ndani ya CCM hawatakuwa na nguvu sana ya kupambana na ufisadi kwani sasa hivi vigezo vya CCM ni kwamba kama unataka kuwa mwana CCM mzuri, criteria ya kwanza ni either usipinge ufisadi au uwe neutral.

Kwa kifupi CCM ni chama chenye viongozi wanao encourage ufisadi na hivyo inakuwa ndio itikadi ya chama na wanachama wake wote! Huwezi kupinga ufisadi vizuri ukiwa ndani ya chama cha wasanii na majangili kama kina Rostam, Lowassa, Makamba, JK n.k. Watakumaliza tu! Hivyo mh. Sitta kabla hujachelewa ondoka CCM! Hujachelewa!

asante mkuu lakini ungeifanya japo kusomeka hivyo ingewavutia wengi lakini umevingirisha mno kiasi kwamba habari
yako inachosha kuisoma japo ni funpi
 
Nawashangaa mnaosema Sitta kajiua kisiasa wakati ametangaza kustaafu siasa 5 years to come na anataka apumzike na familia yake ale pension yake. Any way kitu chochote kinachoonekana kuwafurahisha wanachadema hata kama ni pumba lazima kiletwe hapa. Badilikeni
 
Aliyekuwa mpinga ufasadi na spika wa bunge mh. Samuel Sitta kwa mtazamo wangu amejimaliza kabisa kisiasa. Nasema hivyo kwani kwa kukubali kubaki na kungojea cheo atakachopewa na JK(nasema anangojea cheo kwani sioni sababu nyingine ambayo ingemfanya abaki CCM baada ya kujeruhiwa hivyo), ni kwamba amekubali kununuliwa na hawezi kupinga ufisadi kwenye chama ambacho ni cha kifisadi. Hii inamaanisha kwamba juhudi zake zote za kupinga ufisadi ni sifuri kama amekubali kumkumbatia JK na pia kwa kukubali kubaki kwenye chama kilichomjeruhi vibaya sana katika kinyang'anyiro cha uspika. Yote aliyoyafanya nyuma kwangu mimi yanakuwa hayana maana tena kwani amerudi kundini kwa mafisadi hata kama yeye si fisadi, lakini ndo keshamkumbatia bosi wake ambaye ni fisadi. Kumpinga itakuwa ngumu sana kama atapewa ulaji naJK, na hata akipinga havitakuwa na nguvu akiwa ndani ya chama kwani atakuwa keshawekwa mfukoni kwa kupewa ulaji. Mh. Sitta nae anaonyesha nae ana njaa kwani hamna sababu ambayo ingemfanya aendelee kubaki ndani ya CCM kama si njaa na kusubiria kupozwa cheo. Inamaanisha nae anapenda cheo kuliko wananchi aliodai anawapenda sana na anatetea maslahi yake. Sikutegemea kwa mtu mwenye busara kama yeye bado angebaki CCM. Kwangu mimi ni kwamba amekwisha vunjwa miguu kabisaa. Na hatakuwa tena na nguvu za kupiga vita ufisadi kama JK atampa ulaji. Na hii ina apply kwa wapinga ufisadi wote walio ndani ya CCM hawatakuwa na nguvu sana ya kupambana na ufisadi kwani sasa hivi vigezo vya CCM ni kwamba kama unataka kuwa mwana CCM mzuri, criteria ya kwanza ni either usipinge ufisadi au uwe neutral. Kwa kifupi CCM ni chama chenye viongozi wanao encourage ufisadi na hivyo inakuwa ndio itikadi ya chama na wanachama wake wote! Huwezi kupinga ufisadi vizuri ukiwa ndani ya chama cha wasanii na majangili kama kina Rostam, Lowassa, Makamba, JK n.k. Watakumaliza tu! Hivyo mh. Sitta kabla hujachelewa ondoka CCM! Hujachelewa!
Mtazamo kwa mtazamo, Skeleton kumbuka kwamba Sitta aliomba ridhaa kwa wana urambo ili aweze kuwawakilisha Bungen kwa kuwa Mbunge wao, kumbe basi mengine ni matokeo tu ya kuwa Mbunge. Ni dhahiri kuwa baada kuupata ubunge alipenda kuwa Spika, lakini CC ikaamua vinginevyo. Sasa, kwa kuukosa uspika ndo sababu ya kuhama chama? Ungewafaa nini uamuzi huo wana urambo ambao walimwamini na kumpa ridhaa ya kuwawakilisha? Unakumbuka falasafa yake ya kwamba kazi ya siasa inahitaji kuwa na ngozi ngumu? Hebu mtafakari tena katika angle hiyo.
 
Nawashangaa mnaosema Sitta kajiua kisiasa wakati ametangaza kustaafu siasa 5 years to come na anataka apumzike na familia yake ale pension yake. Any way kitu chochote kinachoonekana kuwafurahisha wanachadema hata kama ni pumba lazima kiletwe hapa. Badilikeni

Angelistaafu siasa kwa heshima na taadhima na watu wasingemsahau kama angejitoa toka CCM lakini kwa aina hii ya kusubiri apewe cheo cha uwaziri ni kutetea zaidi ulaji wake na si kwa ajili ya wananchi kama anavyodai siku zote.
 
Alikuwa analiongoza bunge muhimili wa dola unao jitegemea . Sasa pamoja na kudhalilishwa kote huko bado ukawe AnsRable kwa Pinda hata kama ni maslahi yake binafsi, hapana, maana si ya wana urambo hatukumtuma akadhalilishwe kiasi hiki, na unyamaze ili ututumikie. Kweli kuna jamaa alishaniambia ukiwa mwanasisa hunatofauti na mbwia unga. Watu wanasema mvi nyingi ni busara, lakini kwa mheshimiwa huyu msemo huu nina wasiwasi tena mkubwa. Busara ya kweli ni ile mtu apewayo na MUNGU.
 
Kama akiondoka CCM basi maisha yake yanaweza kuwa hatarini. Kumbuka kina Malima, Kolimba. CCM ni chama cha FreeMason.

CCM-FreeMason, wapo tayari kummaliza mtu yoyote kimaisha iwapo mtu huyo, ataleta athari ktk CCM-FreeMason. Nchi yetu ishaliwa na hawa wezi CCM-Mason.
 
Sasa ana uhakika gani kuwa huo sio muendelezo wa kummaliza ambao ulishanza?
 
Sasa ana uhakika gani kuwa huo sio muendelezo wa kummaliza ambao ulishanza?

Akiwa Neutral, bila ya kukimaliza CCM_FreeMason. Sasa hivi utaona hawa jamaa CCM-FreeMason watakapoanza kuwamaliza waandishi wa habari.

CCM-FreeMason kazi yao kubwa ni Kuifilisi na kuibia Nchi. Hela zote zinasafirishwa nje ya nchi.
Kila mwaka tunapata kiongozi ambaye anaanza vizuri kupingana na CCM-FreeMason, lakini ghafla utasikia huyo mtu kabadilika kawa Neutral, au hayupo duniani. Hawa jamaa ni hatari sana kwa nchi.
 
Hujamaliza kumpa ushauri ahame CCM aende chama gani unachoona kitamfaa, lingekuwa jambo la busara kama ungempa ushauri wa kina kumbuka Sitta ni mtu mzima ambaye amekuwa kwenye medani ya siasa kwa miongo mingi, vita dhidi ya mafiadi si vya Sitta peke yake ni vya watanzania wote.
 
Aliyekuwa mpinga ufasadi na spika wa bunge mh. Samuel Sitta kwa mtazamo wangu amejimaliza kabisa kisiasa. Nasema hivyo kwani kwa kukubali kubaki na kungojea cheo atakachopewa na JK(nasema anangojea cheo kwani sioni sababu nyingine ambayo ingemfanya abaki CCM baada ya kujeruhiwa hivyo), ni kwamba amekubali kununuliwa na hawezi kupinga ufisadi kwenye chama ambacho ni cha kifisadi. Hii inamaanisha kwamba juhudi zake zote za kupinga ufisadi ni sifuri kama amekubali kumkumbatia JK na pia kwa kukubali kubaki kwenye chama kilichomjeruhi vibaya sana katika kinyang'anyiro cha uspika. Yote aliyoyafanya nyuma kwangu mimi yanakuwa hayana maana tena kwani amerudi kundini kwa mafisadi hata kama yeye si fisadi, lakini ndo keshamkumbatia bosi wake ambaye ni fisadi. Kumpinga itakuwa ngumu sana kama atapewa ulaji naJK, na hata akipinga havitakuwa na nguvu akiwa ndani ya chama kwani atakuwa keshawekwa mfukoni kwa kupewa ulaji. Mh. Sitta nae anaonyesha nae ana njaa kwani hamna sababu ambayo ingemfanya aendelee kubaki ndani ya CCM kama si njaa na kusubiria kupozwa cheo. Inamaanisha nae anapenda cheo kuliko wananchi aliodai anawapenda sana na anatetea maslahi yake. Sikutegemea kwa mtu mwenye busara kama yeye bado angebaki CCM. Kwangu mimi ni kwamba amekwisha vunjwa miguu kabisaa. Na hatakuwa tena na nguvu za kupiga vita ufisadi kama JK atampa ulaji. Na hii ina apply kwa wapinga ufisadi wote walio ndani ya CCM hawatakuwa na nguvu sana ya kupambana na ufisadi kwani sasa hivi vigezo vya CCM ni kwamba kama unataka kuwa mwana CCM mzuri, criteria ya kwanza ni either usipinge ufisadi au uwe neutral. Kwa kifupi CCM ni chama chenye viongozi wanao encourage ufisadi na hivyo inakuwa ndio itikadi ya chama na wanachama wake wote! Huwezi kupinga ufisadi vizuri ukiwa ndani ya chama cha wasanii na majangili kama kina Rostam, Lowassa, Makamba, JK n.k. Watakumaliza tu! Hivyo mh. Sitta kabla hujachelewa ondoka CCM! Hujachelewa!

usijali mwanangu mbwa kala mwanaye alishika mpini wa kuleta mabadiliko makubwa TZ lakini he bowed down shauri yake historia itasema
 
Binafsi naona pale ndio saizi yake. Watu wanaona hiyo kama si wizara nyeti, lakini mimi naiona ni nyeti kweli kweli. Inahitaji mtu makini na jasiri wa kutetea maslahi nchi kwenye jumuia hiyo. Sitta ni kichwa na ana misimamo. Jamani naomba maoni yenu
 
6 Amefutwa machozi lakini macho yake bado mekundu wizara aliyopewa haimrudishii heshima aliyokua nayo kwa kulinda heshima yake angekataa hiyo post
 
CCM wamempa hiyo kwa sababu wananchi wengi sana watakuwa wanalalamikia EAC by 2015 maana tutakuwa tumenyonywa kishenzi na kenya na Uganda sasa wamempa ili watu wamuone hafai katika jamii maana hiyo wizara itakuwa na lawama kinoma baada ya wakenya kuchukua ajira na ardhi sehemu kibao.

Wakati Kamara ndo kasaini mikataba yote ya EAC yeye anakwenda kutekeleza, kama ni mimi nafumua upya maovu yote ya Kamara

Peoples power
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom