Elections 2010 Sitta: Kutoka Uspika hadi Uwaziri; safari ya anguko inakaribia

Hivi kumbe bado kuna watu wanadhani chama cha upinzani kususia hotuba ya Rais ni uhalifu?
Haya ni mazoea ya kusema ndiyo hata kwa mambo ya hatari ndo kunaleta tabia kama hizo. Hii ni siasa siyo kambi ya jeshi na huyo ni Rais, siyo mfalme.

Ikiwezekana huko mbeleni hoja dhaifu na za kishenzi zikataliwe kwa ngumi.

Tusipende kupambwa eti amani yetu, utulivu wetu, na .... ushenzi wetu. NO! NO! NO!
 
Wewe MchunguZi umesema kitu kizuri sana Ila watu wachache wenye Akili butu wanadhani kuwa Waziri is a mattert of Mshahara,, Sisi tunaongelea Intention ya Sitta kwa watanzania na ndio maana Wana CCM walipo istukia ntention hiyo hata Uspika wakamtoa katika kinyang'anyiro hicho,, sasa nyinyi munaoongea kama mumekatwa vichwa sijui tuwasaidie nini..

Mbopo wewe huna akili ya kimaendeleo lakini hujijui mimi nakwambia
 
Back
Top Bottom