Kuna mdau alianzisha thread kwamba Sita kakataa hiyo post.
Sijui imefikia wapi?
kama Samuel Sitta ataridhia uteuzi wake wa kuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambao amesema utamshushia hadhi.
Sitta alikuwa amechukua fomu za kutaka achaguliwe tena kuliongoza Bunge la Jamhuri ya Muungano lakini CCM ikamuengua kwa kile ilichoeleza kuwa ni kutaka wanawake waongoze moja ya mihimili ya nchi.
Kuenguliwa kwake kulifanya wengi wabashiri kuwa Rais Kikwete angempa wizara nyeti kama ya Katiba na Sheria ili aongoze mabadiliko ya katiba baada ya Zanzibar, lakini jana alitangazwa kushika wizara hiyo ya ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Asiye sikia lamkuu huvunjika Guu,, We subiri tu,, huyu Kikwete aliambiwa na Ng'hili lakin hasikii tu
"Hili baraza limeundwa kujenga utawala wa kifisadi, kazi ya Baraza la Mawaziri si kumlinda rais ni kuwahudumia Watanzania; hizi si sura sahihi."
"Uteuzi huu si kwa ajili ya maslahi ya Watanzania; baraza hili la mawaziri ni maafa makubwa. Nchi ya Ujerumani ina mawaziri 14, Marekani hawazidi 30, lakini sisi ndio tunaendeleza kufurahishana. Nakwambia baada ya miaka mitano nchi hii itakuwa imekwisha kabisa," alisema Mchungaji Mtikila.
Naye mwenyekiti wa TLP, Augustine Mrema alisema Kikwete anatakiwa kuwa mkali kwa baraza hilo ili mawaziri wake wasifanye mzaha.
huyu mnyamwezi ana njaa sana hawezi kukataa hiyo nafasi na angekuwa hana njaa umri wake na madaraka aliyowahi kuwa nayo hastahili hata kugombea ubunge,njaa kali lazima akubaliakama samuel sitta ataridhia uteuzi wake wa kuwa waziri wa ushirikiano wa afrika mashariki ambao amesema utamshushia hadhi.
Sitta alikuwa amechukua fomu za kutaka achaguliwe tena kuliongoza bunge la jamhuri ya muungano lakini ccm ikamuengua kwa kile ilichoeleza kuwa ni kutaka wanawake waongoze moja ya mihimili ya nchi.
Kuenguliwa kwake kulifanya wengi wabashiri kuwa rais kikwete angempa wizara nyeti kama ya katiba na sheria ili aongoze mabadiliko ya katiba baada ya zanzibar, lakini jana alitangazwa kushika wizara hiyo ya ushirikiano wa afrika mashariki.
hili baraza limeundwa kujenga utawala wa kifisadi, kazi ya baraza la mawaziri si kumlinda rais ni kuwahudumia watanzania; hizi si sura sahihi.
uteuzi huu si kwa ajili ya maslahi ya watanzania; baraza hili la mawaziri ni maafa makubwa. Nchi ya ujerumani ina mawaziri 14, marekani hawazidi 30, lakini sisi ndio tunaendeleza kufurahishana. Nakwambia baada ya miaka mitano nchi hii itakuwa imekwisha kabisa, alisema mchungaji mtikila.
Naye mwenyekiti wa tlp, augustine mrema alisema kikwete anatakiwa kuwa mkali kwa baraza hilo ili mawaziri wake wasifanye mzaha.
Kuna watu hatari sana kwa career za wenzao na Watanzania kwa ujumla. Niwaite wapambe nuksi. Sitta is smart enough hawezi kuingia kwenye mtego wako wa kukataa kazi hii.
Wale uliowapamba waquit hotuba ya Rais, kwamba watu wangewashangaa kama wangebaki bungeni kuisikiliza, wanarethink uamuzi ule. Records zipo humu.
Upotoshaji, upambe nuksi ni hatari. Subiri utapopopewa position utushangaze kwa kuikubali au kuikataa.
Kama huna la kujibu si unyamazeya nini kuonyesha chuki yako kwa Mbowe ambaye sio alianzisha hii mada,una matatizo wewe jibu hoja sio kuingiza watu wasio husikaSio wote wenye akili ndogo kama wewe. Kwa nini akatae? Sita sio mbowe na genge lake.
Kama huna la kujibu ungeacha tuu badala ya kuonyesha chuki yako kwa Mbowe ambaye hahusiki na mada hii jibu hoja yake sio kupindisha kwa kuhusisha watu wasio husika halafu tumia akili kubadilika akina mbowe wanatumia haki yao ya kikatiba kuwa kwenye vyama vingine kwa mujibu wa sheria enzi za ndio mzee zimeishaSio wote wenye akili ndogo kama wewe. Kwa nini akatae? Sita sio mbowe na genge lake.