Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,637
- 6,847
Hivi mafisadi waliliona hili kuwa bado maamuzi ya Sitta pale kanuni zilibaki bubu zitatumiwa na anayemfuatia?
mwenendo wa baadaye wa uendeshaji wa Shughuli za Bunge.
2
-(1) Bila ya kuathiri masharti ya Katiba, Kanuni hizi zitatumika kwa
mambo yote yanayohusu utaratibu wa uendeshaji wa Shughuli za
Bunge.
(2) Iwapo jambo au shughuli yoyote haikuwekewa masharti katika
Kanuni hizi, Spika ataamua utaratibu wa kufuata katika jambo au
shughuli hiyo, kwa kuzingatia Katiba, Sheria nyingine za nchi, Kanuni
nyingine zilizopo, maamuzi ya awali ya Maspika wa Bunge pamoja
na mila na desturi za uendeshaji bora wa Shughuli za Bunge na
uamuzi huo utaingizwa katika Kitabu cha Maamuzi ili kuongoza