Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
- Thread starter
- #61
Msekwa leo ni Makamu wa CCM alisema wazi kwamba anautaka Uspika ili kuwalea vijana ambao wengi ni wapya Bungeni watu wakampiga chini wakachagua kasi sijui spidi leo anasema kwa kasi yake asipo kuwepo hakuan kujadili hoja nzito za Kitaifa . Je kuna utofauti wa hawa 2 ? Hivi Tanzania na Watanzania ni mali ya CCM ?