Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Kitila kwanini unafikiri kiasi cha dola 7000 ni kingi sana?
Hiki ni kiasi kikubwa kwa standard yeyote utakayofikiria, iwe ni huko uliko, ulaya, na tena kwa sisi wabongo ni kingi kuliko kwa kiwango cha kutokusemeka.
Leo niliamua kufanya anecdote research kidogo, nimeongea na land valuer mmoja. Anasema kwa Dar es Salaam ni sehemu chache sana zenye nyumba ambazo kodi ya pango inavuka $3,500. Hata hivyo anasema ni jambo la kawaida sana kwa watu wanaolipiwa kodi ya pango na walipa kodi maskini wa Tanzania ku-inflate rent. It's an anecdote evidence, but provides some useful clues worth further investigation.
Kiasi gani kinapotea kwa corruption katika Tanzania kila mwaka?
He is one already!! Ufisadi wake ni tofauti, but at the end of day ni fisadi tu.Whatever the amount swindled by other similar swindlers in different circumstances, it does not justify this extravagant expenditure of poor tax payers' money by the man entrusted to protect their interest, the speaker. He represents all that is bad about a trusted leader; he's very close to a traitor!
Whatever the amount swindled by other similar swindlers in different circumstances, it does not justify this extravagant expenditure of poor tax payers' money by the man entrusted to protect their interest, the speaker. He represents all that is bad about a trusted leader; he's very close to a traitor!
Wabunge wa CCM wakitaka kumchunguza na kumuondoa Spika wanaweza. Kwanini hawafanyi hivyo kama kuna ushahidi mkubwa wa ufisadi wa spika? Ufisadi ambao tunaambiwa ni mkubwa kuliko wa Richmond?
Mwanakijiji are you serious - eti wabunge wa CCM wamwajibishe Spika wa CCM jamani mbona tunadanganyana hapa. Wangekuwa na ubavu huo UFISADI tungekuwa tumeupa mgongo, ingekuwa bye bye kwa wala rushwa na taifa lingeweza kupiga hatua kubwa ya maendeleo. Kuna ushahidi wa kuzidi KAGODA kuchota Benki Kuu ?
Shuhudia walivyoichachafya serikali wakijua fika kuwa kikao cha bunge karibu kinafikia tamati. Kwa nini hawakuchachamaa toka mwanzo na kugomea kupitishwa kwa bajeti ya serikali - Mwanakijiji, ni usanii mtupu na wabunge wa CCM ni part and parcel ya uovu ndani ya jamii. Kwanza wengi wao wameingia bungeni kifisadi.
Hebu fikiria kwa mfano kama Spika angetoka Chadema, je bungeni pangetosha ? Akina Kilango, Mpendazoe, Shibuda n.k. si wangefoka mpaka mapovu yawatoke na kuhakikisha anavuliwa Uspika. Ni usanii na maadam kuna wananchi wanaoufurahia na wako tayari kulipa kuingia kushuhudia maigizo yao, watapeta tu.
Wao bila aibu wanaweza kukaa kwenye vikao pamoja na mafisadi halafu wakatoka humo na kudai hawana ubia na mafisadi. Wanaweza wakaisulubu serikali asubuhi lakini jioni bila aibu wakatoa pongezi kem kem kwa kiongozi huyo huyo wa serikali. Hao ndio wabunge wa CCM wanaoitwa wapiganaji dhidi ya ufisadi.
Hakika yasikitisha !
the problem we do have a seroius president, what do you expect from his subornates. dawa 2010 nikufanya madaliko tumpe magufuli urais nchi itaenda mbele.. au wanaJF mtampa nani kura zenu..Tatizo si wananchi, tatizo ni Katiba ambayo haitoi nafasi ya kuwa na tume huru ya uchaguzi, wabunge wa CCM na CCM kwa ujumla hawachaguliwi na wananchi bali wanatangazwa na tume ya uchaguzi kuwa ni washindi regardless matokeo halisi ya kura.
- Spika angeacha vilio vya maadui maana muosha huoshwa akumbuke jinsi alivyowachafua kina Salim wakati wa kampnei za urais akitumia kile kigazeti cha Tazama, wenziwe hawakupiga kelele sasa yeye analilia nini hasa?
- Anaposhutumiwa asimame na kujibu shutuma kama zilivyo that is politics, sio kuwatumia wafanyakazi wa ofisi yake that is low, asimame ajibu kwamba anaishije kwenye nyumba ya kulipiwa hela za kodi za walalahoi yaani dola $ 8,000 kwa mwezi, yeye aliwachafua kina Salim kwa maneno ya uongo, sasa haya yake ni ya kweli ajibu mwenyewe!
- Aeleze ukweli kwamba hawa mafisadi originally walikuwa marafiki zake na ameshirkiana nao kupata uongozi, sasa aseme wazi kama ameamua kuachana nao na kusimama na wananchi na aeleze hatua alizochukua tena kwa facts, huwezi kukaa kwenye nyumba ya Dola $ 8000 kwa mwezi ukasema unapigania wananchi, unless ni wananchi wa Quatar au Dubai lakini sio masikini kama sisi wabongo.
- Tunampima kiongozi kwa mazuri na mabaya yake, mabaya yake Sitta tunayajua tayari sasa asimame na kutuambia mazuri yake ambayo kila siku tunaambiwa na baadhi ya viongozi wetu, lakini kwa maneno ya juu juu tu bila facts, kwa wale mnaojua mazuri yake wekeni facts hapa tuone kama mzani unaweza kuwa-balance.
Spika muosha huoshwa, sasa usilie maadui simamia record yako tuione, otherwise huenda adui yako ni wewe mwenyewe! Wananchi wamechoshwa na maneno mengi ya usanii usaniii!
Kama hamuwezi siasa achieni wanaoweza wako wengi sana Tanzania.
Respect.
Field Marshall Es!