Sitta apoteza matumaini ya Urais 2015

Concrete

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,605
549
Habari za uhakika kutoka kambi ya Samweli Sitta, zinaonyesha kuwa matumaini ya kuwa rais wa Tanzania 2015 yamefifia kabisa kutokana na sababu zifuatazo:

1/Kambi yake kushindwa vibaya sana ndani ya chaguzi za CCM.

2/Kutokuonekana dalili zozote kwa CCM kuwafukuza Mafisadi ndani ya CCM hususani Lowassa, Chenge nk.

3/Kutokupewa nafasi ya kutaka kugombea urais kupitia upinzania hususani CHADEMA kama atataka kuhama CCM.
 
Sita ni msaliti mwache atapetape anavuna matunda ya alichokipanda.

Kwa mafisadi patamu anataka na kwa wananchi anapataka lakini pachungu
 
Kwani nae huyu babu hajachoka tu bado anautaka mpaka urais? kweli uongozi mtamu bwana asikuambie mtu
 
Back
Top Bottom