Sitta anahitaji Musa na Manabii kumuelewasha kuwa he is not a man of the moment?

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,638
2,720
Ni kweli huyu mzee yuko competent kumudu bunge korofi lenye wabunge waliojaa kwa motives mbali mbali. Lakini shida inayomkumba huyu mzee ni kwamba ameshapitwa na wakati wake. Kwa kiingereza he is not a man of the moment. Arifae kwa aliyemtangulia jinsi alivyowekwa kando mpaka akaja kukumbukwa miaka michache baadaye kwa nafasi ya juu kwenye chama.
Vitu vingine havihitaji Musa na manabii kukuelewesha. Mtu ukishapima upepo ukaona hauhitajiki basi unajiweka kando unaendelea na maisha yako...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom