Sitta amweka pabaya JK

Kauli hizo za Sitta zinakwenda sambamba na msimamo wake wa kugoma kumwomba radhi Lowassa

Huu ni upuuzi. Sitta amwombe radhi Lowassa kwa kosa gani? Naungana na Sitta kwamba Lowassa ndiye anayepaswa kuwaomba radhi Watanzania kwa kuifisadi nchi yao.
 
Sitta mwaya endelea hivyo hivyo mpaka kieleweke.Wakikusumbua sana endelea na lengo lako la kuhamia CCJ
 
hana lolote huyu babu unajua ccm wanatufanya kama sie wajinga wanapenda kuzuga zuga tukae macho jmaaa watatumalizia nchi yetu wote wanapassport hao
 
When a politician becomes religious it makes me wonder, Mkapa alikimbilia kanisani, RA naye alikimbilia kanisani,..mmh. Hivi makanisa yamegeuka uwanja wa wanasiasa?
 
Back
Top Bottom