Sitta ahoji kuhusu Kagame kumuachia uenyekiti Kenyatta

KIKAO CHA MAWAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI: TANZANIA NA BURUNDI WAWASHA MOTO

Kulikuwa na kutokubaliana katika Baraza la Jumuiya ya Afrika Mashariki la Mawaziri Alhamisi juu ya jinsi Uganda, Kenya na Rwanda walikuwa kuharakisha mambo katika kuelekea shirikisho kisiasa, umoja fedha na miradi mingine, na kuacha nje wengine.

Mbali na mambo mengine Waziri Sita alihoji uhalali wa Rwanda kumuachia uenyekiti wa jumuia ya afrika mashariki Kenya

"The charter says the chair is on one year rotational basis. As far as we are concerned, Rwanda is the next chair. The rest of us don't know about this arrangement of Kenya taking over," he charged.

SOURCE: Tanzania, Burundi concerned with 'isolation' in bloc

My take: Hivi kwanini TANZANIA TUNAKUWA KAMA WAPINZANI NDANI YA JUMUIA
Sitta unalalamika kuharakisha mbona Mhongo nae anaharakisha kuuza vitalu vya gesi?wenzetu wanatekeleza sio tanzania vikao tuu kila siku,hiyo ziara yako sitta ya burundi,drc ukija dar umeshasahau yote, unapanga tena tarehe ya kikao au ziara
 
Tafadhali acha kurahisisha mambo namna hiyo! Anachohoji Waziri Sitta ni ukweli na Mtanzania wa kweli unatakiwa kuiona mantiki. Hatuwezi kuendesha mambo muhimu ya EAC kienyeji kienyeji tu namna hiyo!! Nina hakika ingelikuwa mpango huo wa kubadilishana ungeihusu Tanzania, haraka sana tungeambiwa sisi tunaleta "uswahili" katika serious issues!!! Kama Kagame hataki/amesusa uenyekiti, suala hilo linatakiwa lipelekwe katika vikao halali vya EAC ili lijadiliwe na uamuzi utolewe kwa consensus ya wanajumuiya wote sio wanajumuiya wawili au watatu wakae uchochoroni kisha waamue kwa niaba ya wote--hatukubali--na hakuna "upinzani" hapa, this is the reality of the matter!!!
hii hoja ingekuwa na mshiko tukijua baada ya Rwanda rotation ilikuwa in kwenda wapi? kama ilikuwa ina kwenda Kenya hakuna tatizo, lakini kama ilikuwa ina kwenda Burundi au Tanzania then wanachama wengine wana haki ya kuhoji, na zaidi ya hapo diplomacy inapendelea vitu kufanyika kwa uwazi.
 
Back
Top Bottom