Uongo wa huyu dogo kasomea Harvard. Labda kweli kafa ngoja rafiki zake waje.JAMANI HUYU UMOMI SI TULIAMBIWA ALI - JIUA AU UONGO
Tulia wewe marehemu hasemwi RIP UmomiUongo wa huyu dogo kasomea Harvard. Labda kweli kafa ngoja rafiki zake waje.
Mungu anaingizwa kwenye ugaigai wake, imenibidi kucheka. Eti Baba unajua kunifurahisha.