huyo uliyemtaja ana sanamu lake humu mtandaoniNdo najiuliza mshana alishikiwa nini wakati anakula kipondo! Kama sio hirizi pumuzi basi ilikuwa kibuyu..!
Appreciate ziwaendee wazee wetu wametulea vyema sana kwa vipondo na makaripio ni kitu ambacho kinaumuhimu na huja kuonekana mtu akishakuwa.
usisahau kupiga nao story za maisha na namna wanavyopaswa kuishiMimi ndio maana nikiamua kuwazabua nawazabua kisawa Sawa, sipendi ujinga kwa watoto hasa wa kiume, bahati nzuri wamenielewa na wana nidhamu ya hali juu.
Na wamekuwa marafiki zangu.
sikuwa na haja nayo tenaVipi mshiko wako uliufuata au uliuacha mazima.
Compliments kwa wababa wote duniani--Ilikuwa hivi...
Muda mrefu sana yapata miaka 10 hiyo siku nilikuwa nacheza pool table mtaani, huo mchezo unaitwa "shamkware." Ni kamari na una majina mengi sana huu mchezo pia mnaweza cheza watu wawili au zaidi.
Katika kucheza na kupiga mahesabu makali mwisho wa game mshindi nlikuwa mimi. kwenda kuchukua pesa nlizoshinda ghafla muona baba ananitazama kwa ukali kinoma!
ikanibidi niiache ile pesa niondoke kinyonge nikijua tayari umeshakuwa msala!
Kurudi nyumbani dakika tano nyingi baba naye huyo! nilipigwa kila aina ya kipigo, ngumi, makofi, mateke na mkanda mwisho wa siku akachukua bunduki aina ya gobole na kulikoki kuelekeza kwangu...! akanipiga mkwara mzito sana na kusema "nitakuua nikikuona unacheza michezo ya kipuuzi na sioni faida ya kuwa na kijana mjinga ndani ya nyumba yangu."
niliogopa sana na tangu hiyo siku mpaka kesho pool table sina mzuka nao kabisa.
Baba amenipa vitu bora maishani, muda wake, kujali kwake na upendo wake. Nafurahi sana kuwa nae katika maisha yangu.
He is my superman.
baba zetu wanastahili heshima sana.Compliments kwa wababa wote duniani--
I commend!! Mzee wangu alikuwa mmoja ya wababa bora kabisa chini ya hili jua. Bora kabisa. Basi tu! He gone too soon!baba zetu wanastahili heshima sana.
Nimwmpenda, lkn angekuonja hata TAKO kwa pembeni ubaki na alama ya huo ujingaIlikuwa hivi...
Muda mrefu sana yapata miaka 10 hiyo siku nilikuwa nacheza pool table mtaani, huo mchezo unaitwa "shamkware." Ni kamari na una majina mengi sana huu mchezo pia mnaweza cheza watu wawili au zaidi.
Katika kucheza na kupiga mahesabu makali mwisho wa game mshindi nlikuwa mimi. kwenda kuchukua pesa nlizoshinda ghafla muona baba ananitazama kwa ukali kinoma!
ikanibidi niiache ile pesa niondoke kinyonge nikijua tayari umeshakuwa msala!
Kurudi nyumbani dakika tano nyingi baba naye huyo! nilipigwa kila aina ya kipigo, ngumi, makofi, mateke na mkanda mwisho wa siku akachukua bunduki aina ya gobole na kulikoki kuelekeza kwangu...! akanipiga mkwara mzito sana na kusema "nitakuua nikikuona unacheza michezo ya kipuuzi na sioni faida ya kuwa na kijana mjinga ndani ya nyumba yangu."
niliogopa sana na tangu hiyo siku mpaka kesho pool table sina mzuka nao kabisa.
Baba amenipa vitu bora maishani, muda wake, kujali kwake na upendo wake. Nafurahi sana kuwa nae katika maisha yangu.
He is my superman.
Mzee alitumia busara sanaNlipomaliza form four naposubili matokeo mzee aliniambia niende nkashinde kwenye gari (condacta)
Siku moja wakati tunaingia stend mjini ..mzee alikua anatafuta parking
Palikua na mabasi mengi pembeni...
Akawa anaibana gari kwakuibia ibia ili apate position apaki gari yake,
Wakati anaendelea kuweka gari sawa,pemben ya ile basi alikuepo mpiga debe mmoja anakatisha ticket ya basi mojawapo...yule jamaa amekaa ki huni huni sana+mangeu na manywere machafu kichwani,
Inaonekana alikeleka kuona mzee anapita pembeni yake
Akahofia kugongwa na gari,au ilikua inambugudh kuandika ticket zake...
Alianza kumtukana matusi mazito mno baba yangumatusi mazito
Siwezi kuyaandika hapa ila ni mazito.nliona aibu
Moyo uliniuma sana sana sana sanaa
,nlirudi seat ya nyuma ya gari machozi yalinitoka sana
Mzee hakuwahi kujibu kitu
Alishuka kwenye gari akaondoka kwenda kunywa chai
Wazee wetu wanamazito mioyoni mwao ,wanapambana sana sana
Hakuna siku ntakupuuza mzee wangu.
Siku moja ntakununulia gari...utawapa watu waendeshe,hautapokea matusi tena,utapokea pesa kutoka kwao
Brother unaekatisha ticket buss za....
Nmekusave
Kuna siku utaniomba msamaa
Iwe dunia na au ahera ntakutafuta
pole sana kaka, Mungu ni baba kwa wasiokuwa na baba.I commend!! Mzee wangu alikuwa mmoja ya wababa bora kabisa chini ya hili jua. Bora kabisa. Basi tu! He gone too soon!
Madingi wa type hiyo watoto wao wametoka kimaisha.Na ungezingua angekurushia moto wa gobole kweli.Ilikuwa hivi...
Muda mrefu sana yapata miaka 10 hiyo siku nilikuwa nacheza pool table mtaani, huo mchezo unaitwa "shamkware." Ni kamari na una majina mengi sana huu mchezo pia mnaweza cheza watu wawili au zaidi.
Katika kucheza na kupiga mahesabu makali mwisho wa game mshindi nlikuwa mimi. kwenda kuchukua pesa nlizoshinda ghafla muona baba ananitazama kwa ukali kinoma!
ikanibidi niiache ile pesa niondoke kinyonge nikijua tayari umeshakuwa msala!
Kurudi nyumbani dakika tano nyingi baba naye huyo! nilipigwa kila aina ya kipigo, ngumi, makofi, mateke na mkanda mwisho wa siku akachukua bunduki aina ya gobole na kulikoki kuelekeza kwangu...! akanipiga mkwara mzito sana na kusema "nitakuua nikikuona unacheza michezo ya kipuuzi na sioni faida ya kuwa na kijana mjinga ndani ya nyumba yangu."
niliogopa sana na tangu hiyo siku mpaka kesho pool table sina mzuka nao kabisa.
Baba amenipa vitu bora maishani, muda wake, kujali kwake na upendo wake. Nafurahi sana kuwa nae katika maisha yangu.
He is my superman.
daah! pole sana hizo ndo harakati za maisha, wapo wababa wanadhalilishwa mafisini ila wanavumilia kwa ajili ya watoto wake wapate ada na chakulaNlipomaliza form four naposubili matokeo mzee aliniambia niende nkashinde kwenye gari (condacta)
Siku moja wakati tunaingia stend mjini ..mzee alikua anatafuta parking
Palikua na mabasi mengi pembeni...
Akawa anaibana gari kwakuibia ibia ili apate position apaki gari yake,
Wakati anaendelea kuweka gari sawa,pemben ya ile basi alikuepo mpiga debe mmoja anakatisha ticket ya basi mojawapo...yule jamaa amekaa ki huni huni sana+mangeu na manywere machafu kichwani,
Inaonekana alikeleka kuona mzee anapita pembeni yake
Akahofia kugongwa na gari,au ilikua inambugudh kuandika ticket zake...
Alianza kumtukana matusi mazito mno baba yangumatusi mazito
Siwezi kuyaandika hapa ila ni mazito.nliona aibu
Moyo uliniuma sana sana sana sanaa
,nlirudi seat ya nyuma ya gari machozi yalinitoka sana
Mzee hakuwahi kujibu kitu
Alishuka kwenye gari akaondoka kwenda kunywa chai
Wazee wetu wanamazito mioyoni mwao ,wanapambana sana sana
Hakuna siku ntakupuuza mzee wangu.
Siku moja ntakununulia gari...utawapa watu waendeshe,hautapokea matusi tena,utapokea pesa kutoka kwao
Brother unaekatisha ticket buss za....
Nmekusave
Kuna siku utaniomba msamaa
Iwe dunia na au ahera ntakutafuta
🍻Cheers kwa wanaume wote wenye watoto wanaowalea wenyewe
Siyo watoto wako wanalelewa na mababa wengine wakati wao wapo na wana nguvu za kutosha
alikupa adhabu gani?Kipindi nipo secondary school nlizusha tabia ya makundi na kuto kukaa shule aisee siku moja mzee wangu akanifumania nipo mtaani na genge la masela mzee wangu alinipa kipigo kikali na adhabu ngumu tangu siku hio nilikoma ,wale jamaa nliokua na hang nao asilimia kubwa wameharibikiwa