Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 878
- 1,070
Inaonekana watu wa huko wana roho mbaya nyoka afadhaliDaaaah mkuu umenikumbusha mbali sana, niliwahi kulala nje hapo Kilwa Kivinje karibu na bandari, bahati nzuri nikipata sapoti ya Mzee flan mvuvi alikuwa anasubiri mashua ya kwenda Mafia, kipindi hicho nilikuwa natoka kuchimba dhahabu na safaya mbwenkulu, Lindi ndani ndani, napakumbuka Mangaka, Masasi, Lindi, Kilwa, kwa bahati nzuri kesho yake nilipata lift ya roli la sementi nikafanikiwa kurudi Dar, mazingira ya huko ni magumu sana ikiwa mgeni.