Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,800
Niliumia Sana, hatukuruhusiwa kufanya ibada za kumuombea Tundu Lissu afya njema, hata walio kuwa wamevaa t shirts za Pray for Tundu Lissu walitiwa mbaroni.
Naomba utaratibu huo wa polisi udumu. Usiishie kwa Tundu Lissu pekee.
Naomba utaratibu huo wa polisi udumu. Usiishie kwa Tundu Lissu pekee.