Sitokuja nisahau hii kamwee!

the happiest man

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
253
215
Nakumbuka miaka ya nyuma kuna mwanamke nilimpenda sana ila nadhani haikuwa hivyo kwakwe, siku moja kanipigia simu kama kawaida yangu nikapokea haraka bila kuchelewa akanambia anashida kama ya tsh 450,000/= hiyo hela sikuwa nayo muda huo ila nikamuahidi nitampa baada ya siku mbili kesho yake nikarudi home Mafinga (Iringa) nikaenda nikacheki shamba la miti ambayo ipo tayari nikauza.

Niliporudi DSM nikampa 550000 extra ya kiasi alichoomba, alikaa kama wiki hvi bila kunitafuta nikimtumia txt hajibu na simu hapokei nikajisemea moyoni "haina shida" baada ya wiki kupita nikaambiwa mwanamke alimpeleka jamaa mwingine Zanzibar na show nzima kagharimia mwanamke

Haikuwa tabu kumsamehe nkijisemea pesa sio kitu ila nashukuru yeye ni mzima

Siku nyingine akaomba nimsaidie tsh 300,000/= sikuwa na swali nilimpa tu hakunitafuta kama siku tatu hivi wakati sio kawaida yake, mwisho nikaona uvumilivu utanishinda nikaomba poo maana nishagharimia sana pengine ningeweza hata kujaza maduka ya kutosha alafu haridhiki.

Hivi wanawake wa aina hii kwa hapa DSM wataisha kweli maana ni shiiida kwa usawa huu mtafanya watu turudi kijijini maana tutafirisika
 
Sasa ndugu unadhani wataishaje wakati mwanaume kama wewe upo?? Na bado...hata huyo uliyekua nae kua makini...wewe jaribu kumchunguza..
 
nawe unajiita mwanaume?Utakua na kasoro tu unachapiwaje kirahis rahis ten kwa gharam zako
 
Nakumbuka miaka ya nyuma kuna mwanamke nilimpenda sana ila nadhani haikuwa hivyo kwakwe. .siku moja kanipigia simu kama kawaida yangu nkapokea haraka bila kuchelewa akanambia anashida kama ya tsh 450,000/= hyo hela sikuwa nayo muda huo ila nikamuahidi ntampa baada ya siku mbili kesho yake nkarudi home mafinga (iringa) nkaenda nkacheki shamba la miti ambayo ipo tayari nikauza....

nliporud dsm nkampa 550000 extra ya kiasi alichoomba...alikaa kama wiki hvi bila kuntafuta nkimtumia txt hajibu na simu hapokei nkajisemea moyoni "haina shida " baada ya wiki kupita nkaambiwa mwanamke alimpeleka jamaa mwingine Zanzibar na show nzima kagharimia mwanamke

Haikuwa tabu kumsamehe nkijisemea pesa sio kitu ila nashukuru yeye ni mzima

Siku nyingine akaomba nimsaidie tsh 300,000/= skuwa na swali nilimpa tu hakuntafuta kama siku tatu hivi wakati sio kawaida yake. ..mwisho nkaona uvumilivu utanshinda nkaomba poo maaana nshagharimia saana pengeni ningeweza hata kujaza maduka ya kutosha afu haridhiki

Hivi wanawake wa aina hii kwa hapa dsm wataisha kweli maana ni shiiida kwa usawa huu mtafanya watu turudi kijijini Maana tutafirisika
Hiz story zako unatunga jombaa
 
ULIMPENDA MPAKA UKAWA FALA, SIJUI UMESHAJITAMBUA?
 
pole bro wanawake wa namna hiyo wapo wengi,
yaani kama huku kwenye mitandao ukijifanya kumshobokea mwanamke utashangaa cha kwanza anakupiga mzinga.
Hiyo kweli man.... iko wazi kabisa... baada ya mawasiliano kwa muda fulan... anakupiga kibom
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom