the happiest man
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 253
- 215
Nakumbuka miaka ya nyuma kuna mwanamke nilimpenda sana ila nadhani haikuwa hivyo kwakwe, siku moja kanipigia simu kama kawaida yangu nikapokea haraka bila kuchelewa akanambia anashida kama ya tsh 450,000/= hiyo hela sikuwa nayo muda huo ila nikamuahidi nitampa baada ya siku mbili kesho yake nikarudi home Mafinga (Iringa) nikaenda nikacheki shamba la miti ambayo ipo tayari nikauza.
Niliporudi DSM nikampa 550000 extra ya kiasi alichoomba, alikaa kama wiki hvi bila kunitafuta nikimtumia txt hajibu na simu hapokei nikajisemea moyoni "haina shida" baada ya wiki kupita nikaambiwa mwanamke alimpeleka jamaa mwingine Zanzibar na show nzima kagharimia mwanamke
Haikuwa tabu kumsamehe nkijisemea pesa sio kitu ila nashukuru yeye ni mzima
Siku nyingine akaomba nimsaidie tsh 300,000/= sikuwa na swali nilimpa tu hakunitafuta kama siku tatu hivi wakati sio kawaida yake, mwisho nikaona uvumilivu utanishinda nikaomba poo maana nishagharimia sana pengine ningeweza hata kujaza maduka ya kutosha alafu haridhiki.
Hivi wanawake wa aina hii kwa hapa DSM wataisha kweli maana ni shiiida kwa usawa huu mtafanya watu turudi kijijini maana tutafirisika