Sitokaa nihudhurie tena kwenye harusi ya dada au ndugu wa karibu upande wa kike

Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia.

Yaani baada ya kula na kunya tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra yoyote ni mziki na milio ya bia kufunuliwa inasikika ndio mbele pale bibi na bwana harusi kipindi chao cha kuonyesha mbwembwe zao wakicheza huku wamekumbatiana ndio jamaa akawa sasa anapapasa papasa kila sehemu huku sisi ndugu na wazazi tukishughudiq.

Sitokaa nihudhurie tena harusi ya hii ni dharau kabisa.
pole sana mzee ila ni haki yake hayo sasa hivi ayafanye anavyotaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia.

Yaani baada ya kula na kunya tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra yoyote ni mziki na milio ya bia kufunuliwa inasikika ndio mbele pale bibi na bwana harusi kipindi chao cha kuonyesha mbwembwe zao wakicheza huku wamekumbatiana ndio jamaa akawa sasa anapapasa papasa kila sehemu huku sisi ndugu na wazazi tukishughudiq.

Sitokaa nihudhurie tena harusi ya hii ni dharau kabisa.
... hivi ulikuwa hujui kwamba zoezi zima lilikuwa KUTOA LESENI KWA JAMAA ............?
😅
 
Kukosa hekima tuu,

Mambo ya kulishana keki kwa mdomo big no

Sjui kukiss ya ajabu ajabu big no

Kwamba niwaonyeshe wageni nni hasa ??

Waifu nampa somo mapema hata kuzungumza aongee kidogo sana na iwe ya kueleweka

Mambo ya kuanza mkanda huu, sijui saaa hii saa mbili mwisho mara kitu hiki

Kiufupi sitaki uswahili na ulimbukeni
 
Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia.

Yaani baada ya kula na kunywa tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra yoyote ni mziki na milio ya bia kufunuliwa inasikika ndio mbele pale bibi na bwana harusi kipindi chao cha kuonyesha mbwembwe zao wakicheza huku wamekumbatiana ndio jamaa akawa sasa anapapasa papasa kila sehemu huku sisi ndugu na wazazi tukishughudiq.

Sitokaa nihudhurie tena harusi ya hii ni dharau kabisa.
Mkuu sidhani kama sherehe ilikuwa na pombe za kutosha vinginevyo sioni ni namna gani ungepata muda wa kufuatilia na kuangalia watu wanacheza namna gani.
 
Sasa unadhan Ile mahal n kwa ajil ya nini mkuu anaanza kuilipia Toka ukumbini kama ukumbini TU anafanya hvyo JE huko kitandani atamshika wapi

Tozen kiwango cha kawaida msidharirike
 
Kwamba mwamba siku yake Alafu mmpangie? Hamjaona wazungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom