Sitoisahau siku hii.!!! Soo embarrassed

Ndo nakuambia that is not your problem. Mwili wa kwake, kauweka wazi mwenyewe. Achana nae na ukichaa wake. Kuna wehu mjini na wanahitaji msaada. Stop feeling bad. Usiwe kama watu ambao wakiwa cheated na wenza wao ama kupigwa wanajisikia kuwa wamefanyiwa hivyo kwa sababu fulani. Nooo...amekupiga kwa sababu ni mwoga wa kukuface, hajui kuwasiliana na wewe and he is simply useless. Amekucheat kwa sababu hana uwezo wa kukupenda na kukutamani, na hiyo ni problem yake na haikuhusu.

Hebu enjoy maisha bwana. Jitu lenyewe mkonga mbaya hata haukukuvutia, sio?

Hahahaha
 
hata kusema 'weka mbali na watoto ulishindwa?'
anyway itakubidi uanze kujenga mazoea yakutokuwaza waza just jikeep busy

Nimeacha kuwaza..leo asubuhi nimeikumbuka after a yeae..nikaona nishare na nyie
 
Watch ur language!! Sio vyema kusema muokota makopo, ni vyema ukasema Ana matatizo ya akili, remember he's just a human being regardless of his mental status.

Ok nimefuta kauli yangu....cz naweza kuwa victim siku moja ht mimi....
 
kiri kwamba uliupenda huo mpini...bado uko kichwani hadi leo..!!.?

Nooo sijaufagilia..wala kuupenda..mimi ninavyojua duniani km ukipatwa na tukio ambalo hukulitarajia...la kukushangaza...si rahisi kupotea akilini..ipo siku utakumbuka hilo tukio..ss mm ndo nimelikumbuka leo...wewe huna tukio.??
 
Ilikua ni bahati yako kuona pini jeusi kwenye gari tena public transport ...hahaha just kidding.
 
Ukistaajabu ya Musa...........
Lijamaa kama hilo ndio wale kwenye daladala ukisimama mbele yake huku mmebanana kidogo anamaliza haja zake nyuma yako...
Almaarufu kama dungA dunga...
Pole sana best....

a.k.a babu toa
 
Ndo nakuambia that is not your problem. Mwili wa kwake, kauweka wazi mwenyewe. Achana nae na ukichaa wake. Kuna wehu mjini na wanahitaji msaada. Stop feeling bad. Usiwe kama watu ambao wakiwa cheated na wenza wao ama kupigwa wanajisikia kuwa wamefanyiwa hivyo kwa sababu fulani. Nooo...amekupiga kwa sababu ni mwoga wa kukuface, hajui kuwasiliana na wewe and he is simply useless. Amekucheat kwa sababu hana uwezo wa kukupenda na kukutamani, na hiyo ni problem yake na haikuhusu.

Hebu enjoy maisha bwana. Jitu lenyewe mkonga mbaya hata haukukuvutia, sio?

kwa wale wanaopenda kupiga wake/wapenzi wao siwaelewi kabisa , mi naona akikupiga na ikiwa unaweza kumwonyesha adabu unampa kichapo fresh from there on heshima itarudi. kwa nini akupige? mi swala la kupigana kwa kweli sitaki kulilea kabisa.
 
nilitamani nimshautie..ila nikawaza hakawii kunigeuka...airudishe kwa suruali..halafu me nidhalilike..na ushahid nikose....sikutaka makelele...
Pole bi tofali, lakini umejifunza nini....?
 
Last edited by a moderator:
Nooo sijaufagilia..wala kuupenda..mimi ninavyojua duniani km ukipatwa na tukio ambalo hukulitarajia...la kukushangaza...si rahisi kupotea akilini..ipo siku utakumbuka hilo tukio..ss mm ndo nimelikumbuka leo...wewe huna tukio.??

pole mamii mimi nakuelewa kwa kawaida lazima utakuwa disturbed. what you need to do now, stop thinking on why he did that, how he did it, just take it easy consider you met a person with mental problems.
 
Lol pole sana

Huna sababu yoyote ya kuwaza ukizingatia huyo kaka ni tahira hana akili kabisa

Kwann uumize kichwa na kitendo cha tahira kama huyo

Yaani hadi kinyaa,,lolz!!!!!
 
kwa wale wanaopenda kupiga wake/wapenzi wao siwaelewi kabisa , mi naona akikupiga na ikiwa unaweza kumwonyesha adabu unampa kichapo fresh from there on heshima itarudi. kwa nini akupige? mi swala la kupigana kwa kweli sitaki kulilea kabisa.

Unaweza kupigana na mwanaume. .au unamrushia vitu
 
Pole bi tofali, lakini umejifunza nini....?

Nimejifunza kuwa duniani kuna mambo ya ajabu...na watu wa ajabu ajabu..cha muhimu ni kuwa karibu na Mungu ili akuepushe na tabia km hizo... hana hofu na Mungu ndo maana amethubutu kudhihirisha ushetan wake hadharani.....!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ndo nakuambia that is not your problem. Mwili wa kwake, kauweka wazi mwenyewe. Achana nae na ukichaa wake. Kuna wehu mjini na wanahitaji msaada. Stop feeling bad. Usiwe kama watu ambao wakiwa cheated na wenza wao ama kupigwa wanajisikia kuwa wamefanyiwa hivyo kwa sababu fulani. Nooo...amekupiga kwa sababu ni mwoga wa kukuface, hajui kuwasiliana na wewe and he is simply useless. Amekucheat kwa sababu hana uwezo wa kukupenda na kukutamani, na hiyo ni problem yake na haikuhusu.

Hebu enjoy maisha bwana. Jitu lenyewe mkonga mbaya hata haukukuvutia, sio?
mbona kama una mix mada? Mtoa mada hajasema mbaya ila rangi ndo mbaya!
Nway wanaume wenye tabia hizo please tupeni kule bana! kidogo Dada yetu hapa apate Orgasm, Achen Bhana! sipati picha na mngurumo wa engine plus imaginations kichwani kwa mdada like niliiona wapi hii...inafanya kazi gani vile....???
halafu bi mdada kanichekesha sana kumbe hautubiagi kabisa ndo maana hajui rangi zake!
 
Kwa hiyo rangi ikiwa mbaya yenyewe inaendelea kuwa nzuri? Acha hizo wewe.
Kwa mwanamke kumuona uchi mwanaume ambae hana feelings nae actually inakera na kutia kinyaa.
mbona kama una mix mada? Mtoa mada hajasema mbaya ila rangi ndo mbaya!
Nway wanaume wenye tabia hizo please tupeni kule bana! kidogo Dada yetu hapa apate Orgasm, Achen Bhana! sipati picha na mngurumo wa engine plus imaginations kichwa kwa mdada!
 
Back
Top Bottom