Sitofanya upuuzi wa kwenda kupima DNA kwa mtoto aliyezaliwa na mke wangu wa ndoa

Siku huyo mwanamke atakapo kubadilikia atakapo sema anatala watoto wake..uje utuambie...
 
Mtoto akishabeba jina langu mfano'
Jina la kwanza: Matokeo kuchekupa
Jina la pili: Jabali la Karne.
Nalea, we baba na mama yake mtajua wenyewe namna gani mtamueleza mtoto awaelewe huku mm nakula porpocorn nikiwatazama kama sijui vile.
 
lol
Nikizaa na mke wangu ukaleta pua yako kuwa mtoto ni wako ukitegemea ntamfukuza au kukuachia mtoto unajidanganya, mtoto sikupi na mke akileta ujinga namtimua,
Yaani mimba nitunze mimi mtoto uje uchukue wewe?
 
Mtoto akishabeba jina langu mfano'
Jina la kwanza: Matokeo kuchekupa
Jina la pili: Jabali la Karne.
Nalea, we baba na mama yake mtajua wenyewe namna gani mtamueleza mtoto awaelewe huku mm nakula porpocorn nikiwatazama kama sijui vile.
Sidhani kama una nguvu za kiume, ukweli unao mwenyewe. Wewe ni dhaifu si rijali.
 
Njoo wewe na mke wako niwazalishe,ili kuprove hilo.
Aaah wapi! Nimesoma comment yako nikajua tu una matatizo. Sitanii namaanisha. Sio kawaida kwa rijali kusema ulichosema. Kama una watoto leo ukirudi fanya mpango wa DNA
 
Bongo watoto wa Haramu ni wengi sana ,licha wanaosema ni watoto wao ,watoto wanazaliwa nje ya ndoa ni wengi sana sana ndio maana mambo yanakwenda hovyo hovyo sana.
 
Sheria inasemaje kuhusu hili wakuu??
Unaweza kataa kata kata kua mtoto sio wao na je hao wenye mtoto wakaja kudai mtoto, kisheria imekaaje hii.

Huenda watu wanaogopa hilo kua unaweza kulea mwisho wa siku ikaamuliwa kua mtoto si wako.
 
Sidhani kama una nguvu za kiume, ukweli unao mwenyewe. Wewe ni dhaifu si rijali.
Hata wewe na umri wako ukikubali kubeba jina langu nakulea tu, hakuna haja ya kuona wivu uanze kuongea mambo usiyoyajua sijui urijali sijui dhaifu🤣.

Au kama una mke amekushinda ww leta na watoto tu tubadili majina. Na urithi nawapa.
 
Back
Top Bottom