Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 189
Habari ya leo wataalamu wa Kiswahili.
Leo asubuhi nimemsikia Mwanazuoni mmoja wa Kiswahili ambaye hushirikiana na Radio Clouds akisema kwamba neno "Sitirifu" maana yake hali ya usiri. Binafsi naona kama siyo sahihi vile kutokana na mzizi wa neno lenyewe kuwa ni Sitiri ambalo maana yake ni hali ya kumuwekea mtu au kitu uhifadhi.
Nipeni mitizamo yenu tafadhal.